Angalia kikosi boya icho kikosi Cha watoto watu wazima tunacheza kesho saa9.30 usiku.Mmepigwa mmepigwa
Hajadaka Onana pimbi wewe.Ila tuliwaambia huyu onana hamna kipa humo mkabishaView attachment 2699369
Tukimpata huyu mwamba hakika tutasumbua sana msimu ujao.Sofyan Amrabat will not travel to Belgrade for Fiorentina's pre-season friendly and a move to Manchester United is edging closer.
#MUFC have made a bid worth β¬25M plus bonuses for Sofyan Amrabat.
#LaGazzetta
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2698964
Dogo atawaka sana huko na tutamtamani yetu macho. Nilifuatilia aina ya magoli aliyekuwa akifunga akiwa academy nahisi kule hakuna pressure na atakuwa comfortable.Anthony Elanga pictured in a Nottingham Forest shirt
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2698972
Kabisa tunaweza kumtumia kama tulivyokuwa tunamtumia Handerson au Flecture.Huyu jamaa sijui kwann bado nina imani nae
Naona anaweza bado kuendelea kupewa nafasi
Kwan timu ya mashujaa hiyo walicheza au manjesta?Tutajie majina ya wachezaji wa Utd waliocheza hio mechi.
Wazee wa kufuatilia mpira livescore huku mpo clueless kuhusu sokaIla tuliwaambia huyu onana hamna kipa humo mkabishaView attachment 2699369
10Hag jana aliamua kuchezesha watoto wa Academy, hakuna mchezaji hata mmoja wa first team aliecheza jana, na mbaya zaidi kaptain Gore alikula kadi nyekundu mapema tu kipindi cha pili.Kwan timu ya mashujaa hiyo walicheza au manjesta?
Agenda is Agenda