Mashabiki wa United ni wasahaulifu lakini hawana uvumilivu hata kidogo.Yaani tunamtoa halafu tumtamani. Ni kama unaacha kwenda nae chumbani ukamtie eti unaanza kimchungulia
Wanalilia Squad depth wakati huo wanataka Maguire, Mctominay na Fred waondoke.Yaani tunamtoa halafu tumtamani. Ni kama unaacha kwenda nae chumbani ukamtie eti unaanza kimchungulia
Anthony elanga nilimuona kama option nzr backup. Nadhani shida ni mchezaj mwenyewe.Wanalilia Squad depth wakati huo wanataka Maguire, Mctominay na Fred waondoke.
Wamesahau kuwa injury za mara kwa mara za Varane na Injury ya Licha ilitufanya tumalize msimu nyuma ya Arsenal.
Kumtoa huyo ni kujitia kitanzi tuHuyu jamaa sijui kwann bado nina imani nae
Naona anaweza bado kuendelea kupewa nafasi
Acha siasa weweWanalilia Squad depth wakati huo wanataka Maguire, Mctominay na Fred waondoke.
Wamesahau kuwa injury za mara kwa mara za Varane na Injury ya Licha ilitufanya tumalize msimu nyuma ya Arsenal.
Anastahili kuigiza horror𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐔𝐓𝐂𝐇𝐄𝐑 🪓 🩸.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2699024
Kuna kuwa na squad depth na pia rundo la wachezajiWanalilia Squad depth wakati huo wanataka Maguire, Mctominay na Fred waondoke.
Wamesahau kuwa injury za mara kwa mara za Varane na Injury ya Licha ilitufanya tumalize msimu nyuma ya Arsenal.
Acha woga wa ajabu kwani mbali na Pogba kuna mchezaji tuliyemtoa akatamba nje ya United?Huenda Elanga atatake off pale Notingham Forests halafu kuna usajili wetu mmoja utaflop.
Kwajinsi Man United ilivyojaliwa kuwa na mashabiki wasahaulifu tutaanza kumtaka Elanga tena na kumtukana kocha bila kukumbukua tumewahi kumrushia kila aina ya matusi huyu kijana.
Hapo ndipo utaona academy ni kikichaaAcha woga wa ajabu kwani mbali na Pogba kuna mchezaji tuliyemtoa akatamba nje ya United?
Elanga ni mchezaji wa kawaida sana kama akina Angel Gomes tu.
Unaloljwaza haliwezi kuwa mchezaji mzuri akipata nafasi japo ndogo atakuonesha kitu na hilo tuliliona kwa Greenwood na Garnacho ila Elanga hana ile killer mentally pia haijaandikwa kila academy player achezee senior team daima tangu enzi za Babu tumeachia wachezaji wengi tu akina Ravel Morrison,Fraizer Campbell,Ryan Shawcroas n.k
Hata wakifanya vizuri wanapoenda still sio katika quality inayohitajika na United ndio maana hizo timu ndio zinakuwa za level yao.
Elanga akifanya vizuri Forest basi ndio timu ya level yake na sio United hatuwezi kushtuka