Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe unachuki zako tu

Wenzio wanakuja kule na sisi tunakuja huku

Vumilia tu
 
Itoshe kusema huna unalolijua
 
Nina chuki na Arse8? Like serious i cannot hate a loser.

Hakuna kitu mmetuzidi nyie ni maloser kwetu sasa naanzaje kuwachukia?
Since Alex Ferguson’s retirement in 2013, Manchester United has finished above Arsenal just 3 times.

2017/18
2019/20
2020/21

Their mediocrity isn’t being talked about enough.
 
Since Alex Ferguson’s retirement in 2013, Manchester United has finished above Arsenal just 3 times.

2017/18
2019/20
2020/21

Their mediocrity isn’t being talked about enough.
So kumbe mafanikio ya Yatima kumbe ni kumaliza juu ya United huku Man City wao mafanikio yao ni kuzidi kuipiga gepu Man United.

Na hapo Man United ni mbovu haipo kwenye ubora

Kweli losers ni loosers tu
 
So kumbe mafanikio ya Yatima kumbe ni kumaliza juu ya United huku Man City wao mafanikio yao ni kuzidi kuipiga gepu Man United.

Na hapo Man United ni mbovu haipo kwenye ubora

Kweli losers ni loosers tu
Huon kwamba nyie ndio loser,maana pesa za usajili mlizotumia toka aondoke Fergie ni sawa au mmemzidi mancity
 
Glazers hawaachii timu,Ten Hag ndio kashika mpini kimaamuzi kwenye squad so ataendelea kuota.

Plastic United Fans na Hypocrite Opponents fans tushawazoea na rusted brains
Muache kulialia Sasa pesa Graza wametoa kocha lenu limenunua magarasa kina Anthony
 
Since Alex Ferguson’s retirement in 2013, Manchester United has finished above Arsenal just 3 times.

2017/18
2019/20
2020/21

Their mediocrity isn’t being talked about enough.
Angalia huyu Kenge kwani Manchester united imeanzishwa baada ya Ferguson retirement? Why umeleta kipindi hiko tu?

Wakati mwingine uwe unashughulisha akili yako vizuri.
 
Angalia huyu Kenge kwani Manchester united imeanzishwa baada ya Ferguson retirement? Why umeleta kipindi hiko tu?

Wakati mwingine uwe unashughulisha akili yako vizuri.
Huenda kwa akili zao wameona United ya nyuma ilikuwa hatari basi ile wameiondoa akilini mwao iliwasababishia sana trauma,wanayoitambua ni ya Post-Ferguson Era

Wanasahau washazidiwa European Trophies hadi na West Ham pamoja na Man City walioanza kuwa wakubwa 2010 kuja sasa
 
Wewe unalolijua limesaidia nini ku improve manchester?
Mzee baba Hawa wanataka useme Anthony ni winger hatari ilihali ana goli 4 tu, Sancho anajua , wanataka useme manjesta itapambania ubingwa na kina Rashford ,magwaya ,varane , malacia
 
Muache kulialia Sasa pesa Graza wametoa kocha lenu limenunua magarasa kina Anthony
Eeh pesa Glazers wametoa sana ndio maana wanahitajika Director Of Football na Technical Director wanaojua mpira ili pesa iende wisely.

Nnachomaanisha Mimi haina haja ya Mwarabu kuchukua timu Glazers wataendelea kuwepo na kama ETH atafukuzwa chini yao kama kwa akina Jose na Van Gaal kwa sababu ni fate ya makocha hii.

Ila ndoto anayoiota huyo haitatimia sisi Waingereza tunasimama na Glazers
 
Mzee baba Hawa wanataka useme Anthony ni winger hatari ilihali ana goli 4 tu, Sancho anajua , wanataka useme manjesta itapambania ubingwa na kina Rashford ,magwaya ,varane , malacia
Ukiwa muongo usiwe msahalifu

Wewe na huyo jamaa mpo kwenye boti moja upande wa ETH hafai tu.

Ila sehemu nyingine kimtazamo ni tofauti mwenzio anataka Varane,Casemiro,Martinez na Rashford tu wabaki huku wewe kuna wachezaji wengi ambao jamaa yupo against nao unataka kocha awapandishe viwango akina Fred,Maguire,Sancho,Shaw,Maguire n.k

Kituko zaidi ni kwamba kuna muda unasema hatuwezi pambania ubingwa na akina Sancho halafu kuna muda unakuja unasema Sancho ni mkali.

Hapa ndio nilipopazungumzia siku flani kwa watu wa Upinzani kutokuwa na msimamo kiasi kwamba jinsia zao zinatia shaka

Hata Antony siku anafurumushwa mtaanza kusema ni mkali level za Arjen Robben ila tumemuua ili tu mpishane mtazamo na sisi kwamba mchezaji wakati tunampamba nyie mnamponda na wakati tunakuja kumkataa nyie mtasema ni top player..

Tushawazoea
 
Muache kulialia Sasa pesa Graza wametoa kocha lenu limenunua magarasa kina Anthony
Na kwa Antony ndio sehemu pekee ninayoweza kulaumu ila sehemu nyingine zote naweka tiki.

Tuna imani na kocha wetu kama kutapeliwa tumeanza hata kabla yake huwa karibu kila msimu tunaigiza sajili ya kitapeli
 
Hata fergusson alikuw anakosea....puuzia hao jamaa, binafsi naamini sisi tumefanikiwa na tutafanikiwa kuliko hao arse8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…