kutokana na kucheza chini ya kiwango katika mechi ya leo, man u tuna nini cha kujifunza ili tusikirudie katika mechi zijazo
cc: Belo
moyesd has overstayed in man u
wachezaji hawapendi DM sema wanashindwa kumpa makavu laivu,hivyo kukosa goli kwa mchezaji mahiri,nikudhihirisha wameshamchoka.
Nafikiri hii ndio game ambayo tumecheza ovyo kuliko zote msimu huu,tulipata bahati sana kupangwa na vibonde othewise tungefungwa hata goli 5.Tunastahili kuishia hapa huko mbele itakuwa disaster
Not only has he overstayed but he shouldn't have been there in the first place. What the United Board needs to do is admit that SAF was wrong in picking Moyes as his successor and cut their loses before its too late. It's difficult for fans to continue to be supportive if there is no clear direction to what the manager is doing. After what seemed like a good win versus Crystal Palace you would think Moyes would clue in to the fact that, that was perhaps his best starting 11. With Mata being cup-tied all he had to do was swap him with Kagawa and the team would have probably performed at the same level. If Fellaini was not fit enough to play two games after playing in the weekend then he could have played Fletcher in his stead.Moyes needs to do the right thing and resign.
To be fair though the players also did not perform as they should and they need to take some of the responsibilty for the results this season. Lakini mwisho wa siku lawama zote zinaishia kwa kocha kushindwa kuwatumia wachezaji wake ipasavyo. Inaonekana kama vile wachezaji wa United hawaamini Moyes ana uwezo wa kuwaongoza. Mchezaji akiona mambo hayaendi vizuri uwanjani halafu kocha haonyeshi hata muelekeo wa kuelewa kinachotokea na kufanya mabadiliko ni rahisi sana kwa kikosi chote kukosa imani na kocha kitu ambacho kinasababisha wachezaji kutofata maelekezo hata wakati wa mazoezi.

Moskwito,
Twenzetu nyumbani. Sie tuliitwa wazee wa historia... usisahau historia lazima ikae.
Tumerudi YNWA.
this is only you can say, huh??,vipi kuhusu uwezo wa moyes wa kupanga kikosi na kufanya sub???