Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha wakawaida huyo ndo maana alipopewa bajeti kubwa hakufanya lolote Sasa wamempa bajeti kiduchu apambane sio kulialia
 
Kocha wakawaida huyo ndo maana alipopewa bajeti kubwa hakufanya lolote Sasa wamempa bajeti kiduchu apambane sio kulialia
Tatizo lenu hamtaki kuleta facts.

Msimu wa kwanza Gurdiola anatua City alipewa €216.25 akamaliza nafasi ya 3 akiwa hana hata kikombe cha kahawa. Je, hapo Fraudiola alifanya lolote? Au mnamuona EtH tu!

EtH msimu uliopita amepewa United iliyochoka vibaya mno ikiwa chini ya uongozi usioleweka, mezani akawekewa €243.28 kamaliza nafasi ya 3 na kombe la EFL. Hata Gurdiola hii ilimshinda.

Msimu wa pili wa Gurdiola waarabu wakaweka mezani €317m hakuna timu ingeweza kushindana na City maana waliweka levels mpya EPL: 100 points, kwasasa ubingwa wa EPL ukiutaka uwe na kikosi cha kupata points kuanzia 90.

EtH pesa ya usajili aliyopewa mpaka sasa ni €303.28m. Misimu miwili Fraudiola alitumia €538.25m / nusu bilioni na chenchi.

EtH aliwahi kusema "A coach can't perform magic."
 
Fun fact Antony 86£
 

Flash Back


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Caicedo na Mount Mount ana vikombe vitatu Caicedo ni 6,8 na RB wakati Mount ni 8,10 na winger.

Mnachuki zisizo na aibu sana baadhi yenu.
Sidhani Kama wana chuki, Mount amefanya vzr sana pale alipocheza juu ya viungo wawili Kante na Kova au kante na Jorginho ,chini ya Tuchel akimuweka juu na Kai kwenye mfumo wa 3-4-2-1/3-4-3

Mount Kama winger hakuwa na madhara yoyote ,Kama no.8 ambapo anacheza Eriksen kwenye double pivot ,mount hakuwa na impact hasa kwenye kusidia defending,

Potter kila alipokuwa anamchezesha no.8 kwenye double pivot ,Chelsea ilikuwa inakuwa dhaifu Sana


Tusubiri tuone ETh atamtumiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…