Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,751
- 5,623
Wewe jamaa una element zote za kishoga endelea kupost ushoga utapata mashetani wenzako humu wenye mkengo wa kichokoNAZUONA DALILI ZA KUMUONGEZEA MKATABA WEGHOST AU KUMSAJILI VICENT ABOUBAKARI
make kwanza nicheke
BREAK|| Harry Kane WANTS Real Madrid, he prefers it massively over Manchester United [Via - @Relevo].-Tier 1 View attachment 2644058
Rice ni kit collector, hakuna cha ajabu hapo.
Taito kunitenda umeamkaje5-0
Rooney:
"Mancity hawataifunga manjesta tu Bali wataisambaratisha"
Atakuja Rasmus Hojjlund au Goncalo Ramos. Mmojawapo akiungana na Greenwood watu wataita maji mma7 Hag anadanganya kwenye media anataka Top top Striker
Ukweli usemwe
Hary Kane anaenda Madrid kuziba pengo la Benzema
Now confirmed by @MarioCortegana, @marca and @relevo: Real Madrid are going for HARRY KANE. #rmalive
Victor Osmheni hauzwi ,Kama huna €140-150m
Dusan anaelekea Bayern Munich
Hivo mwisho wa Siku yatatokea Yale Yale ya kuletewa MZIMU( weghost)
Tukumbuke 7 hag alikuwa anamtaka Vicent ABOUBAKARIView attachment 2644045
Takwimu zako si za kweli. Sancho hana goli 3Naam
nimerudi rasmi kutema madini
Jadon SANCHO msimu huu
Matches 29
Goals 3
Asists 3
Hizi takwimu zinakuwaga za mabeki tu sio winger
Itoshe kusema ni moja wapo ya Sajili Za Kitapeli kuwahi kutokea EPL
hii dunia haitakwisha utapeli
nakwenda zangu
NB: Pichani Ni manjesta ya Tz Katika kombe la Abiola cup 1993 View attachment 2643342
Sisi Ni washindan halisi , ligi inaanza manjesta ndio mlikuwa mnajiita taito contender kisa mmesajili kwa €250mTaito kunitenda umeamkaje
Unasikiliza vzr lakin anachosema 7 hag?Atakuja Rasmus Hojjlund au Goncalo Ramos. Mmojawapo akiungana na Greenwood watu wataita maji mma
Now ana goal 6Takwimu zako si za kweli. Sancho hana goli 3
Academy kuna striker yupi? Greenwood hafungi? Ni upuuzi kusema striker ni Kane na Osimheni tu.Unasikiliza vzr lakin anachosema 7 hag?
Anataka CF wa uhakika na hojlund
Hojlund huwez kumtegemea kabisa kupambania EPL
Hojlund wakala wake ndiye Huyo Huyo wa 7 hag
Concalo Ramos anauzwa €80m , hapo mtapigwa tu nae Hana tofaut sana na Hojlund
Sasa hao Top CF waliopo sokon Ni KANE , VICTOR. ..
Labda mji skautie CF ,kitu ambacho 7 hag huo uwezo Hana
Ndio maana wahafidhina walihoji kwanini asingeingia academy pale akabeba CF akampa nafasi , kuliko akaenda kumleta Werghost
Labda Greenwood nitashawishikaAtakuja Rasmus Hojjlund au Goncalo Ramos. Mmojawapo akiungana na Greenwood watu wataita maji mma
Greenwood ungemjuaje bila maamuz magumu kupandishwa ?Academy kuna striker yupi? Greenwood hafungi? Ni upuuzi kusema striker ni Kane na Osimheni tu.
Kwani big spenders waEPL ni kina nani? Kane anaweza asiende man u kwa sababu mbili tu; umri na Levy kukataa kumuuza timu pinzani kwenye ligi. Trust me Osimhen atakayepeleka £100m anambeba ilakikwazo ni injury prone tuLabda Greenwood nitashawishika
Ila sitashangaa 7 hag akimrudia Vicent ABOUBAKARI au kumbakisha Werghost
Kane kwa EPL bila €150m humpati, na akiondoka benzema anaenda Madrid kwa €100m
Victor Ni €134-150m
Wachambuzii nguli mkadanganya watu kuwa Arsenal inaenda kudominate European football kwa miaka kumi ijayo😄Sisi Ni washindan halisi , ligi inaanza manjesta ndio mlikuwa mnajiita taito contender kisa mmesajili kwa €250m
WACHAMBUZI nguli tukasema manjesta na Spurs Ni janja janja tukasema kwa mpira ule mtakata Moto
March tu mkatupa Taulo
Kuna kitu mashabik wengi wa manjesta hamkijui, Timu bado haijauzwa , halafu manjesta Wana limitation ya budget , ili umpate Kane kwa timu ya EPL unahitaji €150m ,nje ya EPL €100m .Ndio maana Kama Kane atabaki Basi itabidi asubiri msimu mmoja zaidi awe free.Kwani big spenders waEPL ni kina nani? Kane anaweza asiende man u kwa sababu mbili tu; umri na Levy kukataa kumuuza timu pinzani kwenye ligi. Trust me Osimhen atakayepeleka £100m anambeba ilakikwazo ni injury prone tu