Huko UCL utachezaje na huo uchafu wa wachezaji?? Hivi Antony na tumiguu twake kama chelewa mbwa yule pamoja na mjinga mwenzake Sancho unategemea jipya kweli? Naumia sana hii timu

Ndy umeandika Nini? Mimi nasemea kikosi chetu sio kizuri kwenda kucheza UCL it's better tusingeshiriki mashindano makubwa mwakani tujenge timu kwanza kuliko kwenda kutia aibu kubwa huko, unapigwa nje ndani na Brighton harafu unataka ushiriki UCL kweli?