Vlahovic awe changuo ikishindikana kumpata Kane.Kwa nini tusimchukue Dusan Vlahovic? Juventus wamepunguziwa alama 10 mpaka muda huu (85') tayari ameishachezea rungu 3 kutoka kwa Empoli wapo nafasi ya 7. Hawatakuwa na champions league msimu ujao watajaribu kupunguza gharama za uendeshaji ikiwemo kuuza baadhi ya wachezaji pamoja na kupunguza mishahara na posho.
Vlahovic awe changuo ikishindikana kumpata Kane.
Hatuwezi wapa jumla huyu jamaa?Aston Villa are looking at a possible loan move for Manchester United attacker Anthony Martial.
[Football Transfers]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2631596
Chap asepe hata kwa mkopoAnthony Elanga is on RB Leipzigβs list this summer.
[Philip Phinze]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2632289
Hata bure aendeHatuwezi wapa jumla huyu jamaa?
Apewe hela alete wachezaji anaowataka.Usajili wetu ndo nitaona 10han yuko serious na project au anacheza makida.
United ndy timu inayoongoza kwa spending EPL nzima unataka wamiliki watoe makalio yao ndy wanunulie wachezaji mnaowataka?Apewe hela alete wachezaji anaowataka.
Asipopewa hela ataishia kwa kina sabitzer.
Mashabiki mna kiherehere sana bila kujua behind the scenes mambo yanavyoenda.
Makocha wanahujumiwa sana na management and owners.
Hio sio case yeye alisema alichelewa kusaini Manchester sababu kuna vipengele alivitaka ikiwemo usajili sasa akiendelea na kazi ikiwa hivyo vipengele vinakiukwa atakua hana tofauti na kina Ole.Apewe hela alete wachezaji anaowataka.
Asipopewa hela ataishia kwa kina sabitzer.
Mashabiki mna kiherehere sana bila kujua behind the scenes mambo yanavyoenda.
Makocha wanahujumiwa sana na management and owners.
United ndy timu inayoongoza kwa spending EPL nzima unataka wamiliki watoe makalio yao ndy wanunulie wachezaji mnaowataka?
Una ufahamu wa kutosha kuhusu mpira kiongozi wangu?