Ila Wamarekani wameharibu sana soka la Uingereza. Naamini timu kama United, Liverpool & Arsenal zikipata investors wa maana zita-dominate sana soka la Europe.
Tayari Newcastle wameonyesha njia waliyopita PSG na City ndiyo football inakoelekea. Pesa na watu sahihi ndiyo njia ya kufikia mafanikio.
Mwarabu apewe timu.