Huo msemo wako nadhani mashabiki wa Valencia wanaweza kuelezea vizuri zaidi.Ni rahisi kuongea kuliko kutenda!
Newcastle unakutana na wagumu wa ligi Brighton leo usiku. Mechi itatupa mwanga. Kwa kujibu swali lako, nafikiri Bournemouth atapata kipigo tu.wazee hivi kwa Bournemouth tunatoboa kweli au ndio Europa tena mwakani?
Tatizo la Timu yetu kila jambo ni promotion, kusajili mchezaji mpaka media zote duniani zijue, tangazo miaka miwili hadi mitatu. Kuuza timu hivyo hivyo. Pesa imewekwa mbele sana.Man. United are interested in signing Sadio Mane who is set to leave Bayern Munich.
#Mirror
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2626652
Yaani ukiaoma habari za the glazers unajikuta unang'ata meno kwa hasira.Tatizo la Timu yetu kila jambo ni promotion, kusajili mchezaji mpaka media zote duniani zijue, tangazo miaka miwili hadi mitatu. Kuuza timu hivyo hivyo. Pesa imewekwa mbele sana.
Hatutoboi kamwewazee hivi kwa Bournemouth tunatoboa kweli au ndio Europa tena mwakani?
Brighton anapigwa kama ngomaNewcastle unakutana na wagumu wa ligi Brighton leo usiku. Mechi itatupa mwanga. Kwa kujibu swali lako, nafikiri Bournemouth atapata kipigo tu.
Mwanangu vijana wa Ammex stadium wamepigwa kama ngoma..Newcastle unakutana na wagumu wa ligi Brighton leo usiku. Mechi itatupa mwanga. Kwa kujibu swali lako, nafikiri Bournemouth atapata kipigo tu.
Leo tunaweza kufungwaPreparing for our final PL away day of the campaignοΈ
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2627062View attachment 2627063View attachment 2627064View attachment 2627066View attachment 2627065View attachment 2627068View attachment 2627067View attachment 2627069
Timu za Italy zimeimarika sana misimu hii miwili hata serie A inavutia kuangalia siyo kama miaka mitano nyuma.Mwaka huu fainali zote zilikuwa na uwezekano wa kuzikutanisha timu za uingereza na Italians