D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Eleven hourβ°MAJOR BREAKING:
Sheikh Jassim has made an extraordinary eleventh-hour 'take it or leave it' offer for #mufc. He has submitted a final, improved bid in an attempt to see off competition from Sir Jim Ratcliffe and conclude a deal for total ownership
@MikeKeegan_DM
Kwanini mnawalazimisha wauze mali yao na urithi wa ukoo ?Ninauhakia kuwa Ten Hag atakuwa ana ghadhabika na familia ya Glazers kuhusu mchakato wa kuiuza klabu.
Hii ni kwa sababu hawezi kufanya mipango yake ya msimu ujao kwa kuwa hajui lolote kuhusu bajeti ya klabu kwenye usajili. Klabu zengine zishaanza mazungumzo na wachezaji wanao wahitaji. Lakini Manchester United wao mpaka sasa ni Orodha tu wanayo mkononi mwao na huku wakiwaambia mawakala wa wachezaji wanaotaka kuwasajili wasubiri mpaka mchakato wa uuzwaji wa klabu kuisha.
Baadhi ya vyanzo vinasema kwamba Ten Hag atakuwa na mkutano na viongozi wa klabu Ijumaa ambapo ataweka wazi kuhusu kukatishwa kwake tamaa na mchakato unaoendelea.
Hivi Glazers wana tutaka ni jamani umbwa hawa.
Poor Glazer
Hawa Umbwa Vilaza(Glazers) si waachie hio timu Qumermae zao.Sheikh Jassim final offer for #mufc in details:
Β£6.3B for 100% of #mufc
Β£1.2B invested in Old Trafford and Carrington.
Β£800M for all of the MUFC debts including in Transfers.
Β£1.5B in transfers and staff recruitment in the next 5 years.
Details of Sheikh Jassim's new offer:
6.3 billion pounds for 100% of the club's shares
1.2 billion pounds to rebuild Old Trafford and Carrington
800 million pounds to pay Manchester United's debts
Β£1.5 billion for transfers over the next five years
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2624725
Hili Jamie Carragher litakuwa na matatizo sanaJamie Carragher's #MUFC '99 & Man City '23 combined XI
The selected combination of Manchester United 1999 and Manchester City 2023 from Jamie Kerger's point of view
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2624728
Lower your expectationsTuuze McFred tumnunue Camavinga maana pale Madrid anashindwa kupata namba sehemu stahiki.
Watafanya nini sasa kama ukocha hawauwezi? wengi wao hakuna wanachojua zaidi ya direct footy( Fergie effect) sasa kwa zama hizi za Guardiola unadhani nani atachukua timu? Itakuwa aibu kubwa mno.Swali
Kwa nini wachezaji wengi wa Man U wanapenda kazi ya Upundity??
Ni rahisi kuongea kuliko kutenda!Swali
Kwa nini wachezaji wengi wa Man U wanapenda kazi ya Upundity??