Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu kocha keshakuwa kichaa huyu
 
Avram Glazer pictured at a hotel in Mayfair, owned by Sheikh Jassim's father.

Avram Glazer's presence at the hotel of Sheikh Jassim's father

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Wasepe zao
 
Erik ten Hag amemtambua Adrien Rabiot kama 'lengo muhimu' kwa majira ya joto, kulingana na L'Equipe. The Reds walihusishwa na Rabiot msimu uliopita wa joto, lakini hawakuweza kupata makubaliano ambayo yangewafanya kuwalipa Juventus kwa huduma yake. Hata hivyo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 atakuwa mchezaji huru Juni 30.
 
Uende Champions League ukiwa na quality players.

Ila ukiwa na hawa kina Maguire, tutapata aibu kuu.
Nakumbuka zamani Kuna timu inaingiza mguu champion league inapigwa Saba, name, kumi.

Liverpool kashaanza kutupiga Saba, nne, SITA yaani ni upoyoyo wa Hali ya juu. Pep ni mjanja Sana. Wale matajir wanampa mshiko anatafuta mchezaji anayemtaka. Anyway ten hag ameomba asiingiliwe labda hii inaweza saidia..

Japo naona pia amepangiwa na namuona martial kama mpango, Maguire na yeye anampango wake kwa antony.

Mxhawi mkubwa ni the glazers
 
Phil Jones will leave Manchester United at the end of the current season, decision confirmed. The club will release the centre back on free transfer. " layout="fill">
#MUFC
Both Phil Jones and Axel Tuanzebe will look for new opportunities as free agents.

Tumepoteza chuma
Tumepoteza mkongwe
Tumepoteza mwamba
 
Phil Jones will leave Manchester United at the end of the current season, decision confirmed. The club will release the centre back on free transfer. 🔴 #MUFC

Both Phil Jones and Axel Tuanzebe will look for new opportunities as free agents.

Hatimaye chuma Phil Jones kinasepa
 
Ninauhakia kuwa Ten Hag atakuwa ana ghadhabika na familia ya Glazers kuhusu mchakato wa kuiuza klabu.

Hii ni kwa sababu hawezi kufanya mipango yake ya msimu ujao kwa kuwa hajui lolote kuhusu bajeti ya klabu kwenye usajili. Klabu zengine zishaanza mazungumzo na wachezaji wanao wahitaji. Lakini Manchester United wao mpaka sasa ni Orodha tu wanayo mkononi mwao na huku wakiwaambia mawakala wa wachezaji wanaotaka kuwasajili wasubiri mpaka mchakato wa uuzwaji wa klabu kuisha.

Baadhi ya vyanzo vinasema kwamba Ten Hag atakuwa na mkutano na viongozi wa klabu Ijumaa ambapo ataweka wazi kuhusu kukatishwa kwake tamaa na mchakato unaoendelea.

Hivi Glazers wana tutaka ni jamani umbwa hawa.

Poor Glazer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…