Kiatu cha udongo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 443
- 1,157
Jasusi la kijerumani klop limeihujumu liva likamuuza mane likamuacha chambalainNatangaza rasmi mm ni shabiki wa LIVERPOOL
Lautaro MartinezStriker gani unaona atafaa kwa bei pungufu ya hiyo?
Unamaanisha postpaid? Ni huduma ya vifurushi kwa mkataba wa miaka 2, kila mwezi wanakuingizia bando husika mlilokubaliana hata kama huna hela, ukipata hela unalipa.
Ox ni mtaalumu wa pasi za mwishoJasusi la kijerumani klop limeihujumu liva likamuuza mane likamuacha chambalain
Amissi tambweLautaro Martinez
Benjamin Sesko.
Gonncalo Ramos.
Wewe ni Nyoka mwenye makengeza?Amissi tambwe
Didier kavumbagu
Gaudance mwaikimba
Saidi bahanuzi
Naunga mkojo ogaNdugu yangu Ostaz hamis77 jukwaa letu limepoa sana tunakuomba uje utuchambulie jinsi Nyumbu tutakavyofungwa na Brighton halafu Arsenyani atakavyompiga Chelsea, Newcastle, Brighton, Forest na Wolves kisha kutawazwa kua ni bingwa wa Premier League. View attachment 2606567
Chelsea nyinyi ni ndugu zetu kabisa, tunawaomba kesho msituangushe kupeleka matanga rasmi pale Emirates.Ushindi wa Jana mmeokota pochi ya mzungu.
He can go his asshole and deep his arm there and wait for a custodyBREAKING: Mason Greenwood thinks he is DONE at United and will never put the shirt on again.
[The Sun Football]
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2603367
Chief THE BLUES kwa sasa tunatembea peku kwenye mbigiri. Hizo sifa unazotupa tunashukuru ila kesho tukiwangusha msitukane.