Glazers hawataki kuachia timu otherwise wangeshauza muda mrefu tu.Niliiona hii mkuu, hata wakiuza Class B share, Assume Wameuza Ineos 51% Glazzer wanabaki na 20 ama 30% halafu siku Ineos wakakumbwa na ukata wakauza Asilimia kadhaa then huyo alieuziwa naye akawa na akili kama Glazzer hayo ni majanga tayari, tunarudi kama Arsenal Zamani.
Zinakera sana zile takataka [emoji35][emoji35]Glazers hawataki kuachia timu otherwise wangeshauza muda mrefu tu.
Leo tukitoboa mniue. Hii kikosi ya kina Sabtizer, Sancho na Malacia mniueeee. Jinga sana hili jasusi la kiholanzi. Haijui vizuri Aston Villa huyu mjinga.