Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu ukifa chini ya goli 3, nikatwe mkuyenge.

Ukifunga hata goli la offside tu, ningolewe koromeo.
 
Aibu nyingine za kujitakia tu, wewe timu inamtegemea mgaya magwaya ndio akamzuie haaland!!
Wangepita hata brighton angalau wangekufa 2 za heshima.
 
Msitegemee mtapewa goli la offside tena kama mlivyopewa ile game nyingine.

Bila figisu za webb, nyie ni ujiji fc.
 
Unadhani kubeba treble ni kunya sio.

Yani hata fainali ya uefa bado mjafika mnawaza fainali small team mentality bwana.
Haujanielewa, nimesema treble inatafutwa, kutafuta sio kupata.

Naona nyumbu mnawaza itakuwaje tukivunja hiyo rekodi yenu ya 1998/99


Rekodi zinawekwa ili zivunjwe na hii haiepukiki msimu huu.
 
chuma3 alisababisha yeye wewe sevila umemfunga lini mara ya mwisho
Mechi ya kwanza yeye ndiyo alijifunga goli la kizembe kabisa kwenye injury time tena OT. Kule Spain dk za mwanzo kabisa akachoma.

Mchezo wa mpira huwa unabadilika kulingana na matokeo. Goli la mapema liliwapa nguvu Sevilla.

Kama 2nd half ingekuwa 0-0 Sevilla wangecheza kwa kujilinda zaidi. Lile goli lilisababisha United nao wafunguke maana on aggregate ilikuwa 3-2 kwahiyo ni lazima utafute goli huku nyuma wakiacha beki ni Maguire, ilikuwa lazima tufungwe tu.

Pia mchezo wa kwanza yellow card ya Bruno ili-influence kilichotokea Spain, kwenye kiungo tulikosa mtengeneza nafasi.

Mwisho wa siku ndiyo football. Tumekubali tumefungwa.
 
Nanyie mpo bize kuwaza mtabeba FA kwa beki maguire striker weghost


Manchester is blue.
 
uzuri n kwamba mmefurahia kudroo na Brighton ili mkacheze na man city fainali mpigwe goli za aibu tena kabla ya msimu kuisha
View attachment 2597468
Mara ya mwisho City tulimpiga. Haaland alikuwa wa moto ila siku hiyo aliishia kuzurura tu akatoka bila on target dk 90.

Carabao pia kwa Newcastle mlisema hivihivi, mwisho wa siku wakala chuma 2. Brighton mkawasifia na Mitoma wao. Sasa hivi mmekuja na agenda nyingine.

WE MOVE!!!
 
Nyumbu hivi si mnajua treble inatafutwa?
Sasa nyie leteni kichwaboga magwaya wanaume tujipigie goli 8.
Yani treble yenu ya mashaka sana maana kwa Madrid hamtoboi, wahuni wanalitafuta la 15. Halafu pale Wembley ndiyo uwanja wetu wa mazoezi msimu huu.

Record pekee ya SAF mnaweza kuvunja ni Three-peat tu na yenyewe ni kwasababu Arsenal ni viazi tu.
 
Unadhani kubeba treble ni kunya sio.

Yani hata fainali ya uefa bado mjafika mnawaza fainali small team mentality bwana.
Man Shitty viazi sana. 😂 Hawajamfunga Madrid tayari wanawaza treble.

Natamani sana Arsenal wafanye yao pale Etihad maana hivi vijamaa vimeanza kuota mapembe vinataka viharibu legacy ya SAF.
 
Haujanielewa, nimesema treble inatafutwa, kutafuta sio kupata.

Naona nyumbu mnawaza itakuwaje tukivunja hiyo rekodi yenu ya 1998/99


Rekodi zinawekwa ili zivunjwe na hii haiepukiki msimu huu.
Hamuwezi kuvunja record ya treble. Hilo nina uhakika 100%.

Kidogo Three-peat mna nafasi ila siyo treble.
 
wahuni walimaliza Paketi nzima ya DUREX kwa MIKOJO MITATU swaaaaaafi juzi tu,hakika binadamu wanasahau haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…