Nadhani Man utd inaonesha moja ya madhara ya timu kumilikiwa na watu binafsi. Timu kubwa sana, ina mashabiki wengi duniani kote, historia kubwa ila ina average players kibao. Kwani madrid wanatushinda wapi? Wangekuwa wanaacha tu kushabikia timu ningeasha zamani sana kushabikia hii timu. Ila ni ngumu.