Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sidwell scores for Fulham....18th min...poor defending by United
 
man utd wasipofukuza huyu kocha watakuwa wanatolewa manundu kila siku
 
Teams should learn from Fulham on how to park the bus....


Pole sana mkuu...

Hata hivyo, unastahili pongezi kubwa kwa kuendelea kuipa support team yako katika kipindi hiki kigumu sana.

Naamini leo Man U watashinda!
 
United putting more crosses...been useless....33rd min
 
Pole sana mkuu...

Hata hivyo, unastahili pongezi kubwa kwa kuendelea kuipa support team yako katika kipindi hiki kigumu sana.

Naamini leo Man U watashinda!

Yaani katika dakika 30, timu imepiga krosi 28, bila ya kuzitumia.....

Na hapa Richardson naona katuonea huruma, la sivyo ingekuwa 2-0...

Hapa utashangaa kuna watu watamlaumu DM, wakati wachezaji wanacheza ugoro...
 
Duh! Hawa Fulham naona wamekuja kuzuia tu....dakia ya 39 hapa...Vida anakosa goli ya kichwa...dah!
 


Cheki bus la Fulham...cheki crosses hizo...halafu bado tupo nyuma kwa goli 1...dk ya 42...
 
Lakini kwa jinsi Fulham walivyo na wachezaji 6 pale kati, kupita kati, inakuwa ngumu...hivyo krosi zinahusika..ila zimeshindwa kutumiwa...dk. ya 44...
 
46 crosses in 45 minutes, with no goal, is totally unacceptable.....
 
hahaaa hatari kubwa..man utd ni under dog siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…