Manchester United (Red Devils) | Special Thread

GOAL! Man Utd 2-0 Sevilla (20")

️: Sabitzer
: MARTIAL
Your browser is not able to display this video.
 
Usimuwekee dhamana mmasai atakuachia shuka usimuone mpaka kiama
Sevilla kama wachawi, washatutesa kwenye Champions League (sitamsahau Ben Yedder) wakatutoa tena kwenye Europa.

Naona historia inataka kujirudia, maana huko Spain naona tunaenda kukamilisha ratiba tu. Timu ishapata pancha.
 
Anyway, still trend continues kwamba united shots za chini zina nafasi ndogo kumpa damage kutokana na swarming but crosses na long balls are key.

Huyu Weghorst 🤣🤣🤣 kapigwa na mpira na kipa kaanguka kuna chura mmoja humu akasema huyu mikimbio yake ndiyo inasaidia kufunga hata yeye asipofunga. And I was like b!tch you do a better job posting results screenshots than trying to understand football. Get outta my face.

Shida ya mashabiki wa united wengi hawaoni zaidi ya matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…