Game na fulham baada ya Red card 3?Game ya kwanza MWAMBA aliwatungua Arsenal..Akawatungua City akaenda likizo akarudi akamtungua Barca na kama haitoshi kama uliangalia game VS Fulham na ukawa na mashaka na kipaji cha huyu mwamba LETA TEAM YAKO
Team apewe mqatar banaSheikh Jassim feels still very confident on his bid to buy Manchester Utd for full ownership; Sir Ratcliffe’s INEOS group will also bid again after positive talks last week.
Deadline for second bids: tomorrow at 9pm UK time.
…then it will be up to the Glazers, again.
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2561105
Sisi tunamkubali sana tu wewe endelea kuumia kwanza utakua Chelsea mbona unamuonea wivu mwanaume aseeGame na fulham baada ya Red card 3?
Hata Kisinda au Daruwesh Saliboko lazima angetakata
Huyu jamaa €100m msimu unaisha ana Goli 3 EPL assist Kama sio 0 au 1
Hivi unadhan mancity na pesa za Mansoor wangepata kocha Kama 3+7hag au Conte wangekuwa hapo walipo?Team apewe mqatar bana
Ila Ulaya nawapenda kitu kimoja, hawa jamaa wao wanaangalia tu profit sio utaifa sijui ninUtd ingekuwa bongo watu wangpigia sana chapuo Ractlife kisa ni Mzawa + Uzalendo uchwara
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Huna kazi?Huyu jamaa €100m lakini hajafikia hata uwezo wa Nicolaus Pepe ambaye Arsenal tulimtimua
Lakini Manjesta wanaona aibu kusema 3+7hag hapa alichemka maana itakuwa aibu kocha Hana jicho la kuona vipaji
€100m Hadi Sasa Epl inaelekea mwisho ana Goli 3 assist 0
Hata Pepe ambaye alisemwa amefeli Arsenal hakuwahi kuwa na mchango duni hivi
3+7hag ni dalali wa Ajax View attachment 2561268
After 3 Red cardsHuna kazi?
Mkuu huwezi kuwa mtu serious muda huu upo active kwenye social media una post upupu, my last comment siwezi kukujibu kitu chochote kamweAfter 3 Red cards
72' - 🟥 Willian
72' - 🟥 Mitrovic
72' - 🟥 Marco Silva
Mashabiki wa manjesta: huyu 7hag bonge la kocha , Anthony hizi €100m hatujapigwa
Katika hizo goli 3 goli moja aliwatupia arse8Huyu jamaa €100m lakini hajafikia hata uwezo wa Nicolaus Pepe ambaye Arsenal tulimtimua
Lakini Manjesta wanaona aibu kusema 3+7hag hapa alichemka maana itakuwa aibu kocha Hana jicho la kuona vipaji
€100m Hadi Sasa Epl inaelekea mwisho ana Goli 3 assist 0
Hata Pepe ambaye alisemwa amefeli Arsenal hakuwahi kuwa na mchango duni hivi
3+7hag ni dalali wa Ajax View attachment 2561268
Huyo ni jobless stress ZitamuuaMkuu huwezi kuwa mtu serious muda huu upo active kwenye social media una post upupu, my last comment siwezi kukujibu kitu chochote kamwe
Nipo kazini na bosi wangu ni mshabiki wa manjesta kila game za manjesta tunaangalia naeHuyo ni jobless stress Zitamuua
Mmmh kuna ukweli wowote hapaNa katika top 6 ndio timu iliyofungwa mechi chache kwenye michuano yote hapo unasemaje.