Uyu Weghorst sijui ni kwa sababu ni mdachi mwenzake 10 Hag….. lkn kiuhalisia sio no 9 wakucheza Man U game nyingi saana jamaa anazingua tu hawezi hata kukaa na mpira sec30
Real betis ni vile tu wamekosa umakini kwenye umaliziaji, kwa mpira tuliocheza kipindi kwanza tulipaswa tuwe tumeshagongwa zaidi ya goli 5.
Maguire, Martinez na De Gea ndio wachezaji pekee waliocheza kwa kiwango ila waliobaki wote ni utopolo mtupu.
Kwa utumbo huu tunaocheza kila siku De Gea atakua Man of the match.