Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kila kombe unaota wewe Uefa champions league mpo au
 
Mkuu raha ya ushabiki ni nini kama sio kelele?

unadhani ni Kwanini timu nyingi zinapenda kucheza zikiwa nyumbani ujui ni sababu ya kelele za mashabiki.

Yani Kwaiyo raha ya mpira ni nini kama watu hatuta Piga kelele na kusifia timu zetu?
 
Mkuu raha ya ushabiki ni nini kama sio kelele?

unadhani ni Kwanini timu nyingi zinapenda kucheza zikiwa nyumbani ujui ni sababu ya kelele za mashabiki.

Yani Kwaiyo raha ya mpira ni nini kama watu hatuta Piga kelele na kusifia timu zetu?
 
Liverpool alipigwa goal 5 na real Madrid tena akiwa kwake lakini hawakupigiwa kelele kama tunazopigiwa sisi hapa ndo utajua United ni moja tu duniani.

Watu wanasema tuna mdomo na kelele sasa raha ya ushabiki ni nini kama mnashinda na kuishia kukaa kimya tu.

Sisi hatuwezi kuacha kelele maana ndo raha ya ushabiki huo kama mnaona tunawapigia kelele mtu block kwenye majukwaa yenu.
 
Yani

Ubingwa tusiwe tunachukua

Kiwango kizuri tusiwe nacho.

Uefa tusicheze

Na mdomo nao mnataka tusiwe nayo acheni zenu bhana tunasema hivi kwa yoyote hatae pigwa tunakuja kulianzisha huko Kiufupi.
Tunaanza upyaaaaaaaaa
 
Tumia dawa 3
 
7 bila 7 bila 7 bila wamebana wameachia
 
Pesa za usajili wa wachezaji zinatokana na mapato ya timu na siyo pesa kutoka kwa Glazers.

Kuna sababu nyingi tu za kuwakataa Glazers.
 
Waarabu wapi na wewe.. lini umesikia Glazzers wanataka kuuza sehemu yao ya kupatia ugali.

Kwanza hawakutoa pesa yao mfukoni kuinunua. Club inajiendesha yenyewe kwa madeni. Jamaa hawatoi jasho.

Mwarabu pekee ataewamiliki ni Mo Salah😂😂
Arsenyani mnatetemeka maana wakija Qataris mtaishia kupambania top 4 tu. Ubingwa itakuwa ni United na City tu.
 
Kabla ya ule mdinyo WA goli 7 kulikuwa kuna chambuzi zinachekesha za wanaunyumbuni humu...kama Ile ya Wana uwezo WA kuifunga timu yoyote barani ulaya Kwa sasahv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…