Fans United wenzangu Wala msiogope hizi kelele tunazopigiwa hapa ni kuonyesha jinsi gani sisi ni tishio uwezi kuta
Liverpool
Arsenal
Chelsea
Man City
hata zifungwe zikaandamwa hivi
Huu ni ujumbe kuwa tumekuwa timu tishio ndo maana ya kelele zote izi tungekuwa wa bovu kama Chelsea hizi kelele zingekuwa azipo kabisa.
Kwaiyo tutembee kifua mbele tuna bonge la kocha tupo bado nafasi nzuri kwenye ligi tupo kwenye kila kombe msimu huu.
kupigwa goal nyingi Amna mwenye ajawai chapwa anaebisha aje hapa na takwimu kuwa ajawai pigwa goli za kutosha.
View attachment 2540121