[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena kona to konaHuyo Anthony naye alichomzidi Daniel James waliomuacha NI kipi? Au Labda kuzunguka na mpira Tu[emoji23]
Kapata alichostahili...View attachment 2539117
Jamaa sijui anajiona nani.. ni unprofessional kuongea kauli kama hizo.
Maneno hayo ilitakiwa aongee shabiki na sio kocha.
Mwarabu apewe timu haraka sanaFabrice Hawkins, RMC]
Qatar bid for Manchester United is in pole position. INEOS have tabled another offer but Qatar are willing to go over £5b
Mwarabu apewe timu haraka sana
GGMUjumannee goaaaaaaaaaall
Nunez[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
GGMUMan seven wamelowa na mvua
Hapana hatuna shida na utishio WENUFans United wenzangu Wala msiogope hizi kelele tunazopigiwa hapa ni kuonyesha jinsi gani sisi ni tishio uwezi kuta
Liverpool
Arsenal
Chelsea
Man City
hata zifungwe zikaandamwa hivi
Huu ni ujumbe kuwa tumekuwa timu tishio ndo maana ya kelele zote izi tungekuwa wa bovu kama Chelsea hizi kelele zingekuwa azipo kabisa.
Kwaiyo tutembee kifua mbele tuna bonge la kocha tupo bado nafasi nzuri kwenye ligi tupo kwenye kila kombe msimu huu.
kupigwa goal nyingi Amna mwenye ajawai chapwa anaebisha aje hapa na takwimu kuwa ajawai pigwa goli za kutosha.View attachment 2540121
kila kombe unaota wewe Uefa champions league mpo auFans United wenzangu Wala msiogope hizi kelele tunazopigiwa hapa ni kuonyesha jinsi gani sisi ni tishio uwezi kuta