Usitetee upumbavu Mkuu nikulize gemu yetu na West Ham bissaka hakucheza, lakin why Leo asingeanzishwa ili huyo dalot apumzike! Ten hag na bichwa lake Kama fuvu la dagaa hua cjui anasisimizi kichwani maana hii gemu amechangia pakubwa kufungwa goli hizi za kudhalilisha.