Ana uhakika na kazi yake.anatabia za kishabiki sio za ki manager ...
Huwa namshangaa Sana na kauli za "I will beat ...." Manager wanaojitambua dunia wakubwa maneno kama hayo hawawezi kuongea kwenye camera,wanaongea dressing room huko na wachezaji ....
Klopp ,pep ,morhino ,carlo huwezi mkuta anaongea pumba za namna hio hata kama anacheza na underdog .....!!
I will beat ....I will beat hizo ni kauli za mashabiki kama sisi ....sio profession al manager
We mbona ni mbwa kitambo sana.Mkishinda mniiite mbwa
Tuna risiti yako ya wewe kuwa shoga tena ulisema mwenyewe uitwe , sasa kaa mbali tusije kuanika risiti yako hadharani kutoka maktaba.Mkishinda mniiite mbwa
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Majibu ya mganga yamekuja jion Sana ngoja na mm nitafte jersey yangu sasaManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Liverpool 1 vs Manchester United 4
Time
1.30
Stadium
Anfield
last match
Manchester United 2 vs Liverpool 1
Sasa wewe jifanye unawabetia Liverpool kama utawafungia wewe.
GGMU
View attachment 2538260
Leo wasiwasi mwingi, hata yeye kasema hayatabilikiUtabiri umeshatoka huko man 4 liv 1 wakuweka mizigo waweke jamaa hakoseagi 😁
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Liverpool 1 vs Manchester United 4
Time
1.30
Stadium
Anfield
last match
Manchester United 2 vs Liverpool 1
Sasa wewe jifanye unawabetia Liverpool kama utawafungia wewe.
GGMU
View attachment 2538260
Tangu ameondoka mane timu ni kama haina muunganiko hasa mbele kuleLeo wasiwasi mwingi, hata yeye kasema hayatabiliki
Mh! Ya leo ya moto sana,kama tunacheza na bournemouth tena Old traffold!Utabiri umeshatoka huko man 4 liv 1 wakuweka mizigo waweke jamaa hakoseagi 😁
Sawa dada angu mkubwa mmeo hajambo?Tuna risiti yako ya wewe kuwa shoga tena ulisema mwenyewe uitwe , sasa kaa mbali tusije kuanika risiti yako hadharani kutoka maktaba.
Bila Man U angemaliza life lake bila taji la ligi kuu ya uingerezaHalafu alitumia muda mwingi Arsenal kuliko unitedni vile tu Arsenal haikubaliki
Kocha Sijui anampendea nini dalot yani.View attachment 2538289