Soon Bendtner atakuwa ana namba ya uhakika emirates, flop wenu ninahisi summer atapelekwe sehemu on loan. Pazi sijamuona muda mrefu. Ozil leo alikuwa anapiga pasi kama Joey barton vile
Bendtner yupo juu kuliko Chicharito. Ozil kazungusha sana kipindi cha pili sema bahati haikuwa yetu leo ama sivyo msingekuwa na la kusema. Nawasubiri emirates 12 Feb
LOl labda kama unamsema Chicharito wa Faru Dume, Ozil na Wilshire siku hizi wanapangwa kwa sababu ya majina yao tuu na itawa cost hiyo mwisho wa msimu wakati mtakapokuwa mnagombania nafasi yenu ya 4 na spurs "kama kawaida yenu"
Kuna posibility kubwa Arsenal,Liverpool na Man United kugombania nafasi ya 3 na 4
LOl labda kama unamsema Chicharito wa Faru Dume, Ozil na Wilshire siku hizi wanapangwa kwa sababu ya majina yao tuu na itawa cost hiyo mwisho wa msimu wakati mtakapokuwa mnagombania nafasi yenu ya 4 na spurs "kama kawaida yenu"
Jinsi mlivyo wabovu katikati Ozil anaweza kucheza nafasi mbili za midfield yenu peke yake afu mkalibeba kombe tena.
hahaha!unaota au viroba?man unaipandsha hapo?bg 4 ni gunnrz,city,chelc na liver/spurs
wilshare ni kati ya viungo bora kbs england na captain wa baadae wa timu ya taifa
Umeanza kushangilia Arsenal baada ya kusajiliwa OZIL inaonekana,kwa sisi tunaojua Arsenal tunaona posibility kubwa.Kama umeangalia fixture zenu za February na March utakubali.Unafikiri kwa nini Wenger alikuwa analalamika Mourinho kuwauzia Mata Man United?
Hahahaha!leo na picha mumetupia....
Naona mumepika pilau bubu leo,hongereni wazee wa europa league
David Moyes on the return of Rooney & Van Persie: "It's massive...I'm looking forward to getting them & Mata on the pitch together".
Kumbuka game ya kwanza Ozil alikuwa mmoja wa flop wa mechi,alifichwa na Phil Jones. Au mlimuambukiza ule ugonjwa wenu wa kuiogopa Man United?
Umeanza kushangilia Arsenal baada ya kusajiliwa OZIL inaonekana,kwa sisi tunaojua Arsenal tunaona posibility kubwa.Kama umeangalia fixture zenu za February na March utakubali.Unafikiri kwa nini Wenger alikuwa analalamika Mourinho kuwauzia Mata Man United?
Arsenal kuongoza ligi ni kitu cha kawaida but kumaliza ligi ndio kazi inayowashinda miaka yote,so far wachezaji wameshachoka na majeruhi yamepamba moto.Angalia fixtures ya Arsenal ya February na Marchuna miaka mingapi mkuu?isiwe ndo wale glory hunter!
TZ 99
Arsenal kuongoza ligi ni kitu cha kawaida but kumaliza ligi ndio kazi inayowashinda miaka yote,so far wachezaji wameshachoka na majeruhi yamepamba moto.Angalia fixtures ya Arsenal ya February na March
acha kuweweseka wewe,
alafu subiri msimu ujao ukiwa big4 ndio uje tuongee
Anayeweweseka ni Mr.Bean baada ya Chelsea kutuuzia Mata anaanza kulialia anasahau hata yeye alituuzia RVP akawauzia City Nasri
Arsenal kuwa big four kwenu ni
sawa na ubingwa,its 9 years now mnasindikiza mabingwa