Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna uwezekano mkubwa wa kunyanyua kwa Europa iwapo United itasonga mbele dhidi ya Barca leo usiku, Wapinzani waliobaki hakika tunawamudu kwa kila kitu.
Huna mpira wa kumfunga Arsenal ambaye tayari majeruhi wake Jesus , Partey ndio wamerudi,narudia huna timu ya kumfunga Arsenal ,mechi ya mwisho ilionesha gepu baina ya hizi timu 2
 
Life comes at you fast!!!

de Jong last summer kila alipoulizwa suala la kuja United alisema ana furaha kubaki Barca na kushiriki Champions League.

Leo yupo Old Trafford kuiwakilisha Barca kwenye Europa League.
 
Wahuni Arsenal tunawangoja kuanzia round 16

Kama mnahisi kwenye ligi ule mpira tuliwanyanyasa ,omben mpite Leo halafu mpangwe na Arsenal hii ya Pass 700 na magoli ya kutosha
Acha ufala. We jamaa Arsenal inakupa uchizi kwasababu mnaongoza ligi.

Huu muda unaotumia kuja kuandika utumbo hapa jaribu kuutumia kuongeza knowledge yako kwenye football pia fuatilia sheria za mshindano timu yako inayoshiriki.
 
Acha hasira kijana ,Arsenal tunawangoja muuane kwenye playoff ,

Labda wewe ndio hujui sheria za mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…