Yaani moyes hamna kitu galasa kupita maelezo anamwacha mchezaji mdogo mwenye miaka 18,acheze dk 120 (januzaj)anamtoa kagawa experienced player,ambae alikuwa ana dictacte game kiasi kikubwa walau na kuanzisha mashambulizi.kwa sasa kilichobakitujiliwaze na kumchukua mata tu ila kocha kwa kweli hatuna tukubali tukatae,kocha hajui kupanga kikosi,kocha hajui kufanya sub,kocha hajui kusajili,kocha hajui kuwatia wachezaji morali,kocha hajui kupangwa wapigaji penlaty(usiniulize nilitaka apige yy??,ilibidi awatrain haiwezekani wachezaji wa4 wote wakose penalt huo ni us...) anchojua yy ni kumnyima namba kagawa tu na kujaza waingereza ndani poor him,in moyes i dont trust.