Kuna moves za magoli au magoli mengine unaona kabisa the player could have done better to prevent the goal...Ila kuna mengine unafungwa we mwenyewe unakubali kabisa tulizidiwa....partey alipoteza kizembe ule mpira Rashid akaupata akafunga tokea mbali na alikuwa angeweza kufanya option nzuri zaidi...goli la pili kipa angefanya vzuri pia hcho Ndo nikichotaka kumaanisha au wewe ulifurahia Ile performance Kwa mpira WA kuvizia huku mbele mnamuweka Yule ngongoti wenu
.....basi bwana mkuu case closed mlikuwa na performance nzuri