kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,777
- 20,696
Ni kweli aisee , Kama sijakosea shaw na varane ndo regular staters waliofanyiwa rotation tu !!!!! Timu iko vzr morale iko juu, wacha tuwafunge Hawa mbwa wa mwituni !!!!Semi Final hii..
Mwaka wa sita huu bila kunyanyua kwapa..acha tuweke full mziki.
0-1
Antony ni mimavi[emoji35][emoji35]Tunacheza ujinga mwingi sana anytime wanarudisha goal sijui kwann huwa hatupambani kumaliza game mapema
Anafanya vizuri shida ni supply ndo hakunaNipo nacheki gemu apa mpk dk hii... huyu weghost hana shida wadau shida ni winga zetu anthony na rashford wabinafsi sn hawamlishi mipira
Jamaa anajiposition vizur tu na movement zke nzur