Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Oct 2, 2009 #1,741 Eqlypz said: Naona Giggs ameamua kuwanyamazisha critics wake waliopiga kelele kuhusu kupewa PFA Player of the Year award, mjamaa yuko kwenye form sana season hii naomba aendelee hivi hivi. Berbatov naye alishine jana. Click to expand... Hata msimu huu hadi sasa ana nafasi kubwa kuretain tuzo yake
Eqlypz said: Naona Giggs ameamua kuwanyamazisha critics wake waliopiga kelele kuhusu kupewa PFA Player of the Year award, mjamaa yuko kwenye form sana season hii naomba aendelee hivi hivi. Berbatov naye alishine jana. Click to expand... Hata msimu huu hadi sasa ana nafasi kubwa kuretain tuzo yake
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Oct 3, 2009 #1,742 Point 3 na magoli mengi leo ni muhimu sana katika kujikita kileleni. Kila la kheri Man u.
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Oct 3, 2009 #1,743 wameanza kutuchokoza
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,238 Reaction score 1,567 Oct 3, 2009 #1,744 Leo naona ManU mapema mambo si mazuri
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Oct 3, 2009 #1,745 Hawa madogo wanatuharibia weekend
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Oct 3, 2009 #1,746 Nemesis said: Hawa madogo wanatuharibia weekend Click to expand... Mbona moja moja tayari,Berbatov kasawazisha kitambo,na game inavyoenda mtaongeza soon
Nemesis said: Hawa madogo wanatuharibia weekend Click to expand... Mbona moja moja tayari,Berbatov kasawazisha kitambo,na game inavyoenda mtaongeza soon
Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 997 Reaction score 34 Oct 3, 2009 #1,747 Madogo wamechoma msumari wa pili...
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Oct 3, 2009 #1,748 Mvina said: Madogo wamechoma msumari wa pili... Click to expand... Dah,nimeliona hilo goli bwana,noma kweli aisee,na kamuda ndo kanakimbia kama nini
Mvina said: Madogo wamechoma msumari wa pili... Click to expand... Dah,nimeliona hilo goli bwana,noma kweli aisee,na kamuda ndo kanakimbia kama nini
Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 997 Reaction score 34 Oct 3, 2009 #1,749 Huenda hili gap likawasaidia Man U!
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Oct 3, 2009 #1,750 kweli mtoto hakui kwa babake.
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,238 Reaction score 1,567 Oct 3, 2009 #1,751 duuhh naona na leo mmependelewa muda mpaka mkasawazisha
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,238 Reaction score 1,567 Oct 3, 2009 #1,752 duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Oct 3, 2009 #1,753 watoto wameziachia point tatu hivi hivi.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Oct 3, 2009 #1,754 Madogo wamejfunga aisee,mpira umekwisha ngoma droo 2-2
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Oct 3, 2009 #1,755 dah! draw 2: 2
Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 997 Reaction score 34 Oct 3, 2009 #1,756 Wkend yenu haijaharibika sana wakuu! Hongera kwa kuchomoa wakuu.
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Oct 4, 2009 #1,757 Ogah said: duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo Click to expand... Tupo na leo tunaiombea Liverpool ushindi mnono
Ogah said: duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo Click to expand... Tupo na leo tunaiombea Liverpool ushindi mnono
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Oct 4, 2009 #1,758 Huyo Ben Forster anazidi kutolostisha
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Oct 4, 2009 #1,759 Belo said: Huyo Ben Forster anazidi kutolostisha Click to expand... goli la pili Foster kafungwa kizembe sana, jamaa hafai kukaa langoni sijui kwanini SAF anamng'ang'ania tu.
Belo said: Huyo Ben Forster anazidi kutolostisha Click to expand... goli la pili Foster kafungwa kizembe sana, jamaa hafai kukaa langoni sijui kwanini SAF anamng'ang'ania tu.
Manda JF-Expert Member Joined Sep 24, 2007 Posts 2,071 Reaction score 306 Oct 5, 2009 #1,760 Ogah said: duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo Click to expand... Kuna mtu anaitwa Ben Foster akili zake kama kipa wa Simba, ndio katufanya tuione weekend chungu.
Ogah said: duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo Click to expand... Kuna mtu anaitwa Ben Foster akili zake kama kipa wa Simba, ndio katufanya tuione weekend chungu.