Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vlahovic.

Gapko.

Lautaro Martinez.

Sesko.

Osimhen.

Kane.

Ni muda sasa tuingie sokoni kutafuta goal machine wa kujaribu kukimbizana na watu kama Haalland..na sio tia maji tia maji..Hao hapo juu kuna anayeweza kufanya hiyo kazi??
Nafikri tusuke kwanza kikosi kiwe na matuamaini, hatuwezi kuwaza kupata PRIME goal machine kwa aina hii ya team tuliyonayo.

Hasa wakiangalia wachezaji walioua career zao kwenye hii team.
 
Nafikri tusuke kwanza kikosi kiwe na matuamaini, hatuwezi kuwaza kupata PRIME goal machine kwa aina hii ya team tuliyonayo.

Hasa wakiangalia wachezaji walioua career zao kwenye hii team.
Kwa kikosi kilichopo tunahitaji Halland tuongoze league.

Striking force pekee ndo inazingua.
 
Wamiliki wamemwachia jamaa Kwa Shingo upande Sana , Ila najua Wana hasira na kocha 😁 sa hv wanawaza tuu huyu msenge timu isipoingia top 4 , tunamfukuza
 
Kwa kikosi kilichopo tunahitaji Halland tuongoze league.

Striking force pekee ndo inazingua.
January sina uhakika kama tunaweza kumpata Vlahovic au Osimhen ila yeyote kati ya hawa machalii tutakuwa tumelamba dume. Osimhen tuliwekewa mezani ila prioty ilikuwa kuboresha upande wa kulia (Antony).

Mtu pekee ninaye muona akijiunga na United ni Cody Gakpo baada ya kombe la dunia. Ten Hag aliwahitaji wote wawili na Antony ila bodi ilimwambia achague mmoja na kulikuwa na mawasiliano ya moja kwa moja kati Gakpo na Ten Hag (Wana wakala mmoja).
 
Vlahovic.

Gapko.

Lautaro Martinez.

Sesko.

Osimhen.

Kane.

Ni muda sasa tuingie sokoni kutafuta goal machine wa kujaribu kukimbizana na watu kama Haalland..na sio tia maji tia maji..Hao hapo juu kuna anayeweza kufanya hiyo kazi??
Lautaro Martinez
Benjamin Sesko
 
The process is designed to enhance the club's future growth. the Board will consider all strategic alternatives, including new investment into the club, a sale, or other transactions involving the Company.

#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
 
#mufc's share price is up 17% following announcement of potential sale by Glazers. It has already added almost $400m to the club’s market capitalisation.


[KieranMaguire]
#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
 
No pay off for Cristiano Ronaldo as both sides only wanted to have clean resolution to respect the history of Ronaldo at Man Utd. No ongoing strings on either side. [emoji599][emoji837] #MUFC

Erik ten Hag immediatly approved the decision together with the board.

#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123]
 
Kwa kikosi kilichopo tunahitaji Halland tuongoze league.

Striking force pekee ndo inazingua.
Mpira haupo hivo, nowdays ufungaji wa magoli Ni mgawanyo wa wote had Viungo,

Chelsea walikuwa wanasema wanakosa CF tu ili wabebe epl na wawe timu yakuogopwa ,wakaenda sokon wakatoa £100m kwa Lukaku, kilichotokea unakijua

Unaweza kumleta Halland hapo man u akawa mzururaji tu ,

Nowdays hauhitaji CF ili ufunge magoli, Pep na Klopp miaka mitatu hii walikuwa wanagonga 100 goals bila hao CF,

Arsenal ya Sasa haina typical no.9 ,Lakini inafunga magoli for fun,

Unaweza kwenda sokon ukamleta CF akaja akawa mzururaji, hata Halland ukimuangalia bila kuwekewa mfumo sahihi anakuwa mzururaji, Kuna mechi anagusa mpira mara 7, 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…