Huyu alicheza EPL akachemsha.Msisahau Kipindi Cha Mashindano Makubwa Ya Kimataifa Ndoo Kipindi Ambcho Timu Nying Zinafanya Sajili Za Kitapeli Kama Manchester United [emoji23] View attachment 2422874
Huyu De Jong mbona wa kawaida sana.
Kaupiga mwingi sanaHuyu De Jong mbona wa kawaida sana.
Ujinga wake wakukurupukia utelezi, na hapo mkataba wake unazidi kuisha na timu matokeo yake utaisha aanze kukosa na hela.Kesi ya Greenwood hadi Nov 27, 2023.
Huyu dogo mpira ndiyo basi tena.
Di maria na sanchez 😆🤣😂
Kacheza vizuri sana, watanzania wanapenda wachezaji wa anao anao tu.Tuna maono tofauti, binafsi nimeona Frenkie kaupiga sana mwingi dimba la kati pale.
Yupo vzr Sana, akiwa juu ya back 4, anauwezo wa kuvunja line za wapinzaniNimekubali De Jong ni ball carrier..jamaa anatembea na mpira kinoma..ila ndo hivyo inaonekana hatupendi.