D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
Hili chezaji Nalo takatakaElanga naye kasemaView attachment 2420420
Umesahau kijambo cha Pogba , hamna timu pale imebak na utajiri wa fans tuu ...!! Kama mambo yakienda hv miaka 10 ijayo hata hao fans watavanish itakuwa kama burnley
Ngoja awaachie timu lenu la mchongoHii haizuii yeye kutimuliwa january..
Crucial answerHii haizuii yeye kutimuliwa january..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii haizuii yeye kutimuliwa january..
Umeona enhh mzee mwenzangu!!!Nao wanatuchelewesha na kombe lao dunia liishe chap watu tuendelee kupata furaha hapa[emoji847]