ETH secretly aliwaambia wamiliki kama wanataka pesa za matangazo basi Ronaldo abaki Ila kama wanataka timu ifanye vizur bas Ronaldo ni kirusi..Kwa sababu ya pressure ya mashabiki timu kutofanya vyema uwanjani waneamua kumsikiliza kocha , Ronaldo anajua Hana chake pale na anapangwa Tu kucheza just kusawazisha upepo ...na yeye siyo Fala Kias hcho.... !!Hamna si kumuua
Kwa tabia hii anaweza kukosa deal za pesa matajiri watamkimbia
Angekuwa pep angeshamla kichwa mapema tu dinho kolo toure wanamjua vizrETH secretly aliwaambia wamiliki kama wanataka pesa za matangazo basi Ronaldo abaki Ila kama wanataka timu ifanye vizur bas Ronaldo ni kurudi..Kwa sababu ya pressure ya mashabiki timu kutofanya vyema uwanjani waneamua kumsikiliza kocha , Ronaldo anajua Hana chake pale na anapangwa Tu kucheza just kusawazisha upepo ...na yeye siyo Fala Kias hcho.... !!
Feck you..blocked.You know nothing about football kaa kimya utachekwa
Numbers don't lie..Namba hazidanganyiView attachment 2417094
Ukikosa timu sponsors watakaa pembeni.Na aombe sponsorship deals alizonazo zisiingie nzi kwa tabia yake mbovu!
Tuendelee kuweka takwimu.Namba hazidanganyiView attachment 2417094
Kufanya mapenzi ni ushamba?Dogo nae kumbe mshamba mshamba