Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matchday..

GGMU

Tuwapige Fulham ili tuende World Cup break kwa amani..

Rashford Martial Garnacho...that's the way to go.
 
We jamaa kichwa yako kwenye mpira
imejaa madini tupu.
Nikinunua timu daraja la pili nakuchukua uwe DOF, naimani baada ya misimu miwili timu yetu itapanda daraja, ndani ya miaka 5 nikiwa na wewe ninauhakika tunachukua kombe ligi kuu.
 
Leo tunashinda bila shaka ikiwa Ronaldo hatacheza.

Kwa Sababu kuna world cup, alafu yeye ni forward hatataka kuteseka akiumia je?

Yule pellistri aaminiwe leo, kuna wachezaji wengi leo ambao watacheza kimachale machale
 
Nahisi harufu ya damu humu Kuna jitu linaenda kupakatwa......ngoja nijenge mahema kabisa
 
KUNA MTU ANAWEZA KUNISAIDIA ANIAMBIE KWA NINI HUYU KOCHA NI MJINGA KIASI HIKI. GARNACHO, TOMINAY, FRED...SIJUI KWA NINI HAWAANZI ILI TUANGALIE MECHI KWA RAHA. BIA YANGU SASA HAPA NAKUNYWA KWA SHIDAAAA
Wewe ndiye mjinga.
 
Wacha we.

Kwamba we unajua kuliko kocha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…