Watu kama hawa unawaweka kwenye ignore list,Its shame hatujuani kwa sura ila kwa maandishi unaelewa ni namna gani mtu sio civilized.Shabiki maandazi ww bila shaka,sasa unadhan kutukana ndo solution?jenga hoja.
Unajifurahisha tu, unauwezo wa kumfunga Barca wewe[emoji1]De jong,Timber wote limewakuta jambo..
Walijidai nye nye nye hatuwezi kwenda kucheza Europa lig.. kiko wapi?? Matimu mechi tano.. hili point 4, jingine point 3..!! Tena naomba sana tukutane na Barca robo au nusu tumkalishe vizuri de jong mkosa adabu..!!
Dembele akiwa na mechi mbaya tunawakung'uta kama mbwa kokoUnajifurahisha tu, unauwezo wa kumfunga Barca wewe[emoji1]
Hata awe na mechi nzuri mkuu... wanabamizwa kikawaida sana.Dembele akiwa na mechi mbaya tunawakung'uta kama mbwa koko
Dembele tokea afunge ndoa amekuwa mkorofi sana na ndio injini ya barcelona.Hata awe na mechi nzuri mkuu... wanabamizwa kikawaida sana.