Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Sisi tukisema tunaonekana wahafidhina,Waambie kuna msimu Pepe alifikisha mpk goli 11[emoji23] kwahyo wasitishike na goli 3... huyo n Daniel James Tu WA pauni mil. 100
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hata mimi ninamkubali sana angekuwa amerudi na yupo kwenye fomu yake Arsenal ingekuwa moto zaidi ya hivi sasa..Nimemkumbuka ESR dah ,majeruhi adui mbaya Sana kwa wachezaji
Dogo Ni ball carrier, akichukua mpira atalishambulia goal
Get well soon Emil Smith Rowe
Yule jamaa anautulivu mkubwa sana anapocheza angekutana na Ordegard na vipasi vyake na kina Martinel pale mbele watu wangeomba poo.Kuna moment zake nilikuwa nazicheki Leo Hadi machoz yametaka kunitoka
Baada ya hizi mechi familia ya glazer lazima wabebe lawama 😄Baada ya Hizi Mechi ten hag atalalamika anataka £250m nyingine January 🤣🤣🤣
next 4 league games
Tottenham (H)
Chelsea (A)
West Ham (A)
Aston Villa (A)
Sioni wakutupiga hapo mkuu labda wa draw tu.Baada ya Hizi Mechi ten hag atalalamika anataka £250m nyingine January [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
next 4 league games
Tottenham (H)
Chelsea (A)
West Ham (A)
Aston Villa (A)
Amka kutoka kwenye hiyo ndoto kabla mambo hayajaharibika.😂 Ushindi wenu leo ni sare.Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Man united 2 vs Tottenham 0
Time
4:15 usiku
Stadium
Old trafford
Last match
Man united 3 vs Tottenham 2
View attachment 2391693
Duh!😂😂 utawaua.Mchague leo mtoe sare wikiend mchapwe au sare Tena Au leo mfungwe ,wikiend mtoe sare
Hili nalo ni Tatzo kubwa.Tatizo wachezaji wa man u wote akili yao kwa Ronaldo ,
Anthony angeacha uchawa kwa Ronaldo huenda mannu wangepata goli,
Anaacha kutoa pass kwa wachezaji wenzake WATATU anatoa kwa Ronaldo aliyebanwa na beki
View attachment 2391265
Mkitaka kushinda mechi zijazo, ni lazima mmoja aanzie benchi, either Antony au Ronaldo.Tatizo wachezaji wa man u wote akili yao kwa Ronaldo ,
Anthony angeacha uchawa kwa Ronaldo huenda mannu wangepata goli,
Anaacha kutoa pass kwa wachezaji wenzake WATATU anatoa kwa Ronaldo aliyebanwa na beki
View attachment 2391265