Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Yote hii ni kwasababu ya mechi za katikati ya wiki za UEFA. Ila mechi kama ya Villa v Chelsea ilikuwa na uwezekano wa kuchezwa jana lakini kutokana na sheria za UK wangeiweka jana hiyo mechi mashabiki wa Uingereza nje ya Birmingham wasingeweza kuitazama Live kupitia TV.ulikuwepo uwezekano wa mechi ya chelsea kuchezwa saa 8 mchana
- Manchester united vs newcastle united = saa 10
- leeds united vs Arsenal = Saa 10
- aston villa vs chelsea = saa 10
- barcelona vs real madrid = saa 11
mechi ya arsenal au manchester united kuchezwa saa 10:30
mechi ya liverpool ikachezwa saa 1 usiku
mechi nyengine ikachezwa saa 3 usiku
fanyeni kushare link ya kuangalia mpira live
Muda wa mechi ukifika pitia:ulikuwepo uwezekano wa mechi ya chelsea kuchezwa saa 8 mchana
- Manchester united vs newcastle united = saa 10
- leeds united vs Arsenal = Saa 10
- aston villa vs chelsea = saa 10
- barcelona vs real madrid = saa 11
mechi ya arsenal au manchester united kuchezwa saa 10:30
mechi ya liverpool ikachezwa saa 1 usiku
mechi nyengine ikachezwa saa 3 usiku
fanyeni kushare link ya kuangalia mpira live
nafahamu kuwepo kwa hiyo sheria ila nakumbuka msimu uliopita tulipocheza dhidi ya newcastle united mechi haikuonyeshwa live nchini Uingereza.Mechi za 3pm (5pm EAT) Jumamosi pale UK haziruhusiwi kuonyeshwa kwenye TV wala kuwa streamed kwenye Pub. Ni sheria ya miaka ya 1960s iliwekwa ili kusaidia vilabu vya ligi za chini ya EPL kupata mapato kwasababu mechi za Championship, League 1, League 2 na National League huchezwa Jumamosi sasa wakiziweka muda mmoja na timu kubwa watu wengi wanaacha kwenda viwanjani wanaangalia mechi kubwa kwenye TV, kitu kinachopunguza mapato ya viingilio uwanjani.
Usisahau kurudi saa 12 jioniNewcastle United tuna jambo letu leo
Historian hazichezi mpira mzeeHead to Head zinaturuhusu kabisa kuwapiga hawa maDogo ama mnasemaje?..?
#GlazerOUT
#GGMU
manutd View attachment 2388924