Mwambie 10 Hag sisi kama mashabiki wa United hilo pira biriani sisi hatulitaki awaachie kina Arsenyani.
Man United tunataka mpira magoli, utamaduni wetu ni pasi mbili, tatu inapigwa ndefu wanaume wanaweka wavuni.
Mnaomdiss Anthony endeleeni na kazi yenu na yeye kila akiwa uwanjani kazi yake ni kuwaprove wrong.
View attachment 2381990