Huyu mwamba asingejiongeza basi asingenyanyua hili dude mpaka anakufa.Tumekaa pale tunasubiri mapambio ,ya Ten hag OUT ,
Na wasiwasi huenda hata krismass mkamtimua
Hutu tu kopo mimi hua napenda wawe wanapewa Arsenyani, huaga tunawatia ujinga sana na kuwapumbaza kisha wanaanza kuvimba kichwa na kujiona tayari wameshakua mabingwa.Tumewanyanyasa sana wapinzani mwezi September. October tunaendelea tulipoishia, Pep na genge lake la wahuni wajiandae.View attachment 2372530
Mmebaki historia TU,Huyu mwamba asingejiongeza basi asingenyanyua hili dude mpaka anakufa.
Bahati nzuri akawahi kushtukia mchongo akaachana na watoto akaja kujiunga na wanaume.
Mpaka kesho akiwa anahojiwa hua anapenda zaidi kuizungumzia Manchester United aliyoichezea kwa misimu miwili tu kuliko Arsenyani aliyoitumikia kwa 8 season's.
Pia hua anajutia na akijilaumu sana kwa kupoteza nguvu zake miaka nane kwa Arsenyani ambako aliambulia kubebeshwa masufuria ya ngao ya hisani.View attachment 2372526
Hivi unajua Huyu jamaa kabeba hi tuzo kwa sababu ya mech 2 sijui 1?Tumewanyanyasa sana wapinzani mwezi September. October tunaendelea tulipoishia, Pep na genge lake la wahuni wajiandae.View attachment 2372530
Upeo wako kwemy mpira ni mdogo sana... xavi mpaka leo bdo anatengeneza timu kashachezea sn vichapoMmebaki historia TU,
Hivi unajua mnaenda mwaka wa 6 bila taji lolote ,namaanisha hata ngao hakuna
Nitarudi kukumbusha hapa ,Huyu Ten hag Ni mjanja mjanja tu,
Imagine timu imetumia £250m lakin inacheza kwa kuvizia ,
Kulikuwa na ulazima gan wakumtimua Ole sendeka
Hii ndio tuzo ya mwanzo na mwisho had mcmu unaisha nyumbu nyieTumewanyanyasa sana wapinzani mwezi September. October tunaendelea tulipoishia, Pep na genge lake la wahuni wajiandae.View attachment 2372530
Ten Hag: "Anthony Martial been training with the group all week, really happy with that situation. Marcus Rashford also joined training."Mzeee Kama rashford na martial hawapo ,unategemea kina Sancho ,baby yenu Ronaldo na Anthony [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ni forward butuu ,hawana effect kabisa
Upeo wako kwemy mpira ni mdogo sana... xavi mpaka leo bdo anatengeneza timu kashachezea sn vichapo
Hata yule ole sendeka na yule mwalimu wa Klopp na tuchel mlisema wanatengeneza timu, ila mliwatimuaArteta anafka arsenal kala sana vipigo mpk leo timu ina ahueni
Klopp kaja liver kagongwa sana mpk anakuja kupata mafanikio..
Mpira sio kukata viuno muache kocha atengeneze timu
Naona Hadi real sociedad mlimnyanyasa[emoji23]Tumewanyanyasa sana wapinzani mwezi September. October tunaendelea tulipoishia, Pep na genge lake la wahuni wajiandae.View attachment 2372530
Arteta kawapa mafanikio gani hadi umemtaja hapo na klopp mkuu?Hata yule ole sendeka na yule mwalimu wa Klopp na tuchel mlisema wanatengeneza timu, ila mliwatimua
Huyo klopp unayemsema alitumia £177m kuleta Allison ,vvd,fabinho,ox,keita,Salah
Tena baada ya mauzo ya coutinho
Arteta pesa kubwa aliyowahi kutumia Ni £140m ,
Sasa huyu kipara wenu katumia over £200+m dirisha moja tu , timu bado inacheza kwa ujanja ujanja
Kama Klopp ukimpa Sasa £200m+ hata Arteta umpe hiyo £200+m kwa dirisha moja ,timu haiwez kucheza kwa ujanjaujanja Kama kina westham ,
[emoji16][emoji16]arsenyani kama watoto wadogo kwaiyo achana nao tu hao.Arteta kawapa mafanikio gani hadi umemtaja hapo na klopp mkuu?
Au umesahau tupo wote Europa na mlikuwa juu kwa point nyingi tu msimu uliopita?
Arteta kashatupa FA cup, na msimu uliopita mmesahau mlidai Tunashuka daraja ?Arteta kawapa mafanikio gani hadi umemtaja hapo na klopp mkuu?
Au umesahau tupo wote Europa na mlikuwa juu kwa point nyingi tu msimu uliopita?
Tupo hapa had X mass Kama hamjaanza mapambio Ya kumtimua kocha[emoji16][emoji16]arsenyani kama watoto wadogo kwaiyo achana nao tu hao.
Unafurahishaga ukija kule jukwaan unatamba Sancho kaimprove[emoji16][emoji16]arsenyani kama watoto wadogo kwaiyo achana nao tu hao.
Kwo we unataka timu zote bajeti zao ziwe sawa, yan ni sawa na kutaka kila kaya tanzania tule ugali maharage kila sikuHata yule ole sendeka na yule mwalimu wa Klopp na tuchel mlisema wanatengeneza timu, ila mliwatimua
Huyo klopp unayemsema alitumia £177m kuleta Allison ,vvd,fabinho,ox,keita,Salah
Tena baada ya mauzo ya coutinho
Arteta pesa kubwa aliyowahi kutumia Ni £140m ,
Sasa huyu kipara wenu katumia over £200+m dirisha moja tu , timu bado inacheza kwa ujanja ujanja
Kama Klopp ukimpa Sasa £200m+ hata Arteta umpe hiyo £200+m kwa dirisha moja ,timu haiwez kucheza kwa ujanjaujanja Kama kina westham ,
Mkuu naona umeamua kupiga panapouma.😁Huyu mwamba asingejiongeza basi asingenyanyua hili dude mpaka anakufa.
Bahati nzuri akawahi kushtukia mchongo akaachana na watoto akaja kujiunga na wanaume.
Mpaka kesho akiwa anahojiwa hua anapenda zaidi kuizungumzia Manchester United aliyoichezea kwa misimu miwili tu kuliko Arsenyani aliyoitumikia kwa 8 season's.
Pia hua anajutia na akijilaumu sana kwa kupoteza nguvu zake miaka nane kwa Arsenyani ambako aliambulia kubebeshwa masufuria ya ngao ya hisani.View attachment 2372526
Childish reasoningTupo hapa had X mass Kama hamjaanza mapambio Ya kumtimua kocha
Mlimpamba Sana Yule mwalimu wa Klopp na tuchel mkaishia awaachie timu
Huyu Ten hagg mara Mia Ole , ukibisha tunaweka kumbukumbu ,mtakuja hapa kudai awaachie timu[emoji1787][emoji1787]
Hivi ndio Huyu alisema Guardiola ajiandae era imeisha[emoji1787]
Kwa mpira huu wakuvizia na kukaa nyuma ,na hapo unaambiwa katumia £250m dirisha moja
Achana naye anavuta bangi mbichiChildish reasoning
Zikiisha ulizokunywa uje uandike upya labda uko na point