Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Anthony yule hata mech vs Arsenal ukitoa goli hakuna Cha maana alichofanya , game 2 zilizofata hata 1vs 1 hawez, anachojua kucheza vusigino, na udambwidambwi ,vitu ambavyo kwa soka la Sasa vitawagharimuWachezaji mara nyingi wanachukua muda kuzoea mazingira.
Sancho kachukua muda mrefu kuonyesha uwezo wake.
Anthony ni mchezaji wa kiwango cha juu sana labda kama una kengeza la soka huwezi kuona kipaji chake.
Sancho aimeimprove kipi hasa ?Wachezaji mara nyingi wanachukua muda kuzoea mazingira.
Sancho kachukua muda mrefu kuonyesha uwezo wake.
Anthony ni mchezaji wa kiwango cha juu sana labda kama una kengeza la soka huwezi kuona kipaji chake.
Kwanini utoe goli lake dhidi ya Arsenal? [emoji1] Mbona nyie mlimsajili Pépé ka-flop na watu wametulia tu. Antony mechi 3 tu mshaanza kuwashwa kama kawaida yenu, juzi tu tuliwakuna mshasahau? [emoji23]Anthony yule hata mech vs Arsenal ukitoa goli hakuna Cha maana alichofanya , game 2 zilizofata hata 1vs 1 hawez, anachojua kucheza vusigino, na udambwidambwi ,vitu ambavyo kwa soka la Sasa vitawagharimu
Nadhani ndio maana ana G/A 12 Katika Ligi ya uholanzi, Ligi laini ,Gapko pale PSV ana G/A 33
Yaani Gapko anamchango mkubwa kuliko Anthony .
Naelewa unafanya banters kwasababu tu Saliba amemzidi Sancho kwenye G/A lakini huoni kama ni ujinga kufananisha wachezaji wawili wa positions 2 tofauti kabisa!
Ok, but Ni mtazamo TU, ila Huyo Anthony hataweza kufikia kiwango Cha Pepe nikimuangalia , Pepe ameferi Arsenal ya Arteta sababu haendani na mfumo ,Pepe Ni mzuri kwenye Kaunta ,Kwanini utoe goli lake dhidi ya Arsenal? [emoji1] Mbona nyie mlimsajili Pépé ka-flop na watu wametulia tu. Antony mechi 3 tu mshaanza kuwashwa kama kawaida yenu, juzi tu tuliwakuna mshasahau? [emoji23]
Kidogo kidog naanza kuamin asenyeto mna matatizo ya kisaikolojia kwa kutochkua league muda mrefu
Ukweli mchungu, Sancho Ni another flop hapo man u kataa kubali ,Naelewa unafanya banters kwasababu tu Saliba amemzidi Sancho kwenye G/A lakini huoni kama ni ujinga kufananisha wachezaji wawili wa positions 2 tofauti kabisa!
Mara nyingi Stats hazikupi picha halisi zaidi ya kuangalia mechi. Chukulia mfano mechi yetu na Arsenal mlicheza vizuri sana lakini kwa mtu ambaye hakuangalia mechi atajua labda United ndiyo walikuwa wazuri zaidi.
Sancho msimu huu anacheza vizuri sana ukilinganisha na msimu uliopita, mchezaji anaweza kuwa hafungi lakini haimaanishi ni mchezaji mbovu.
Son msimu uliopita kabeba kiatu ila msimu huu kaanza taratibu na juzi kafunga hat-trick. Timo Werner, Lukaku wote walikuwa na stats nzuri za kuvutia wakaja wame-flop.
Mchezaji siyo stats tu kuna vitu vingi wanafanya uwanjani ukitoa G/A kama ni lazima forward afunge kila nafasi na kila mechi wakina Messi na Ronaldo wangekuwa na magoli 2000 basi.
Man u ana miaka mitano bila taji loloteKidogo kidog naanza kuamin asenyeto mna matatizo ya kisaikolojia kwa kutochkua league muda mrefu
Nimetoa goli maana hata kina lukaku walikuwa wanafunga lkn performance ovyoKwanini utoe goli lake dhidi ya Arsenal? [emoji1] Mbona nyie mlimsajili Pépé ka-flop na watu wametulia tu. Antony mechi 3 tu mshaanza kuwashwa kama kawaida yenu, juzi tu tuliwakuna mshasahau? [emoji23]
🚨 Clubs that overpay the most for their players compared to their real market value:Naelewa unafanya banters kwasababu tu Saliba amemzidi Sancho kwenye G/A lakini huoni kama ni ujinga kufananisha wachezaji wawili wa positions 2 tofauti kabisa!
Mara nyingi Stats hazikupi picha halisi zaidi ya kuangalia mechi. Chukulia mfano mechi yetu na Arsenal mlicheza vizuri sana lakini kwa mtu ambaye hakuangalia mechi atajua labda United ndiyo walikuwa wazuri zaidi.
Sancho msimu huu anacheza vizuri sana ukilinganisha na msimu uliopita, mchezaji anaweza kuwa hafungi lakini haimaanishi ni mchezaji mbovu.
Son msimu uliopita kabeba kiatu ila msimu huu kaanza taratibu na juzi kafunga hat-trick. Timo Werner, Lukaku wote walikuwa na stats nzuri za kuvutia wakaja wame-flop.
Mchezaji siyo stats tu kuna vitu vingi wanafanya uwanjani ukitoa G/A kama ni lazima forward afunge kila nafasi na kila mechi wakina Messi na Ronaldo wangekuwa na magoli 2000 basi.
Inachukua muda gani kuweza kusema mchezaji fulani ni flop?Nimetoa goli maana hata kina lukaku walikuwa wanafunga lkn performance ovyo
Unaweza kufunga goli na performance yako ikawa ovyo
Pale Arsenal Pepe alikuwa anamaliza msimu na G/A 10,12 had 15 All competition ,lkn Ameonekana flop sababu Kuna vitu hafikii
Ukweli mchungu yule Anthony Ni another flop hapo man u
Kwa bei ya €100m ,na anavyocheza haihitaji kujua yule mchezaji Ni Another flop ,Kama huamini tuendelee kusubiriInachukua muda gani kuweza kusema mchezaji fulani ni flop?
Ni nyie man u mnamuona Pepe amefeli ila Sancho anatakataNaelewa unafanya banters kwasababu tu Saliba amemzidi Sancho kwenye G/A lakini huoni kama ni ujinga kufananisha wachezaji wawili wa positions 2 tofauti kabisa!
Mara nyingi Stats hazikupi picha halisi zaidi ya kuangalia mechi. Chukulia mfano mechi yetu na Arsenal mlicheza vizuri sana lakini kwa mtu ambaye hakuangalia mechi atajua labda United ndiyo walikuwa wazuri zaidi.
Sancho msimu huu anacheza vizuri sana ukilinganisha na msimu uliopita, mchezaji anaweza kuwa hafungi lakini haimaanishi ni mchezaji mbovu.
Son msimu uliopita kabeba kiatu ila msimu huu kaanza taratibu na juzi kafunga hat-trick. Timo Werner, Lukaku wote walikuwa na stats nzuri za kuvutia wakaja wame-flop.
Mchezaji siyo stats tu kuna vitu vingi wanafanya uwanjani ukitoa G/A kama ni lazima forward afunge kila nafasi na kila mechi wakina Messi na Ronaldo wangekuwa na magoli 2000 basi.
Mkuu nimeanza kuishabikia United tangu 1999. Kwa kipindi chote hicho naifahamu United nje ndani.Daaaahhhhh broo una ugomvi wowote na huyu jamaa?
Mimi nakuhakikishia huyu dogo akitulia utakuja mwenyewe kuungama na kutubu dhambi ya kumsemea uongo Anthony.
Achana na zile kelele za kina Edo Kumwembe, hawa jamaa ni wapinzani wetu lazima watafute maneno ya kuwaponda wachezaji wetu.
Watakupinga na kukuona mamluki, ila sisi wapenda football ,pale hakuna mchezaji ,muda utasema ,Mkuu nimeanza kuishabikia United tangu 1999. Kwa kipindi chote hicho naifahamu United nje ndani.
Nimeona successful transfers nyingi sana pale United na Failed transfers nyingi tu.
Kitu positive pekee kwenye kikosi chetu alichonacho Anthony ni pace pekee na vyenga kwenye ligi yetu wachezaji wa namna hiyo ni nadra sana kuwa na impact kwenye epl.
United na south American players imekuwa ni mbingu na ardhi wengi wanaishia kuwa failed transfers orodha ni ndefu sana wapo waliofanikiwa walau msimu mmoja lakini bado katika jicho la kawaida waliendelea kuonekana kama average performers kikosini.
Man United ilitumia 70€ kumnunua winga wa kulia Jadon Sancho imerudi tena sokoni kumnunua Anthony kwa 100€.
Itakuwa ni jambo la kushangaza kwangu kama Anthony atatupa tunachokitafuta.
Kwa mtazamo wangu mimi kama shabiki wa United timu hii ilihitaji sana mchezaji ambaye anaweza kucheza vizuri kama false 9 mwenye energy badala ya winger.Watakupinga na kukuona mamluki, ila sisi wapenda football ,pale hakuna mchezaji ,muda utasema ,
Mashabiki wengi wa man u mara Mia muweke matumain kwa Elanga ,
First touch tu nikajua hapa hamna kitu na kama uliangalia ile mechi ya r sociedad ni kama ameanza kuwa frustratedMkuu nimeanza kuishabikia United tangu 1999. Kwa kipindi chote hicho naifahamu United nje ndani.
Nimeona successful transfers nyingi sana pale United na Failed transfers nyingi tu.
Kitu positive pekee kwenye kikosi chetu alichonacho Anthony ni pace pekee na vyenga kwenye ligi yetu wachezaji wa namna hiyo ni nadra sana kuwa na impact kwenye epl.
United na south American players imekuwa ni mbingu na ardhi wengi wanaishia kuwa failed transfers orodha ni ndefu sana wapo waliofanikiwa walau msimu mmoja lakini bado katika jicho la kawaida waliendelea kuonekana kama average performers kikosini.
Man United ilitumia 70€ kumnunua winga wa kulia Jadon Sancho imerudi tena sokoni kumnunua Anthony kwa 100€.
Itakuwa ni jambo la kushangaza kwangu kama Anthony atatupa tunachokitafuta.
Kina Flano hawataki kusikia ukweli huu ,First touch tu nikajua hapa hamna kitu na kama uliangalia ile mechi ya r sociedad ni kama ameanza kuwa frustrated