Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inasemeka tutachukua mmoja wapo

Dalili zinaonesha Antony yupo karibu zaidi kusajiliwa

Good move
 
Hamna noma ila mwaka huu man u Europe league yetu pamoja na epl

Niny wengine nendeni mkashiriki hiyo uefa bana
 
Akiwa wa kawaida huko sio gurantee ataendelea kuwa wa kawaida kwetu.

Kama kocha anamtaka, manake anataka amtumie kwenye formation yake.
Akiwa wa kawaida huko sio gurantee ataendelea kuwa wa kawaida kwetu.

Kama kocha anamtaka, manake anataka amtumie kwenye formation yake.
Gakpo ni wa kawaida kweli anafanana na elanga pia ni winga wa kushoto sema kwasababu miaka ya n 23 hivyo anaendelea kukua
 
Hiiz ndio club kubwa duniani ,nioneshe man UTD au arsenal nikuoneshe mbwa anayetaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2334759
Tusichekane bwana raha ya uefa n kubeba kombe apo mmoja tu ndo atachukua kombe mwisho wa siku wengine watabaki kua wasindikizaji anae cheza europa akibeba anakua na thamani kuliko msindikizaji
 
Hiiz ndio club kubwa duniani ,nioneshe man UTD au arsenal nikuoneshe mbwa anayetaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2334759
Bora muache kwenda tu amna cha maana mnachofanya kule zaidi ya kutia aibu tu nakusikia harufu ya kombe tu.

bebeni kwanza hata ueropa sio kukimbilia makombe makubwa na mazito.
 
Bado manchester haijawa sawa maana livakuku haiko fom na ina mapungufu sehemu ya katikati ambako keita au tiago wange fit in majeruh pia kuto kuwepo kwa konate au matip kuli week defensive isitoshe tume shinda lakin mechi kwa ujumla tumezidiwa kiasi kikubwa kasoro magori sisi tulicheza kwa kuvizia ndio maana tukapata nafasi zile lakin kwa timu ndogo hatuwezi kuvizia maana nao wanasubili watuvizie (poccession liva 71 man 29 shoot liva17 man 13 coner 8liva man 6 )lakin imeonyesha mwanga ila itakua shrong ikikamilisa antony,dejong, na right back

Mtu yeyote alieangalia game vs liver anapata majibu

Man u ya fagasoni imerudi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…