persie van medy
New Member
- Dec 11, 2013
- 3
- 3
Naona wameamkaThey have another 45 min to defend themselves...wape mda bro
Tatizo sio viungo, tatizo kocha tu, Kwanini hamtaki kukubali wenzangu? Mbona ndio viungo hao hao walio tupa ubingwa msimu ulio pita? Acheni kujitoa ufahamu bhana.Ndiyo, lakini tunahitaji viungo wa maana siyo Tom na Gigs ni mzee sasa.
Fans wa Utd wanatia sana huruma. Leo naona atleast timu yao inataka kujikomboa.Kwikwikwiiiiii..... Umenichekesha sana!
Mie napita tu, maana kushabikia ManU kwa mgonjwa wa presha na sukari ni kujitakia mauti ya haraaaaka!!!
Fans wa Utd wanatia sana huruma. Leo naona atleast timu yao inataka kujikomboa.
Tatizo sio viungo, tatizo kocha tu, Kwanini hamtaki kukubali wenzangu? Mbona ndio viungo hao hao walio tupa ubingwa msimu ulio pita? Acheni kujitoa ufahamu bhana.
Its now ur turn. Its hard for utd fans but u have to get used to those kind of decisions.A very debatable pen....