Sijui ni kwa nini watu wanashindwa kuliona hili..Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Lakn pengine hajapewa muda wakuonyesha makali yake akipewa game kama 10 ivi straight tuone atafanya nnEti kuna mtu anaamini VdB anaweza kupata namba kama starter kwenye ligi hii..alooo haya ni masihara..the player who didn't make it kwenye kikosi cha Everton can't make it next season hapa OT.
10 game straight?..Lakn pengine hajapewa muda wakuonyesha makali yake akipewa game kama 10 ivi straight tuone atafanya nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe wa huko mchafukoge unajua kuliko kocha na benchi zima la ufundi?
Fred alikuwa kwenye timu mbovu ndo maana unamuona mbovu. Ila bado anaitwa timu ya taifa na anacheza na mchango wake umeonekana.
You should not force others to believe what you believe.
10 game straight?..
EPL sio ya majaribio..alikuwa anapangwa Carabao na Fa na bado anachemka..otherwise ETH alete upendeleo wake wa Kidutch ambao utamtokea puani.
Kuna wachezaji unaona tu kuwa ni ngumu wao kushine kwenye EPL kwa kuangalia tu game chache walizocheza.
sasa man anacheza nani kama si scot na mati c ?Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Sasa Mctominay ndo achezw hiyo namba panga pangua ! labda sisi hatujui mpira tunaangalia tu ila kwa mctominay hapana bora fred anauwezoSijui ni kwa nini watu wanashindwa kuliona hili..
Gap la Mita 20-30 ni makosa ya wachezaji kutotambua wajibu wao au ni mfumo wa kocha / kocha kawaelekeza wacheze hvyo?Kama mkuu Darmian alivyojibu juu mpira wa miguu ni mchezo wa wachezaji 11, unahitaji Balance.
-wakati Ole anachukua Timu tulicheza 433 ila alivyooondoka Herera hatukuweza tena Kucheza huu mchezo, hivyo unaona Mchezaji mmoja tu Kaharibu mfumo mzima
-msimu unaofuatia nao hatukuanza vizuri na mfumo mpya wa 4231, mpaka kufikia january tupo nafasi ya 8, mechi 18 na point 25 tu.
-tukamnunua Bruno January, Missing piece, Ghafla timu nzima ika perform vizuri toka point 25 hadi 66, Nafasi ya 8 mpaka ya 3, wachezaji walioonekana wabovu ghafla nao waka perform vizuri.
-Then akaja Ronaldo balance ya Timu ikaharibika Tena. Mimi naamini kama Tungekuwa na DM/midfield za maana kina Maguire wasingekua exposed na Ronaldo asingehitajika Kukaba sana na Balance ya Timu ingepatikana.
Kwa ushahidi zaidi angalia Maguire asipokuepo si tunashindiliwa magoli ya Kutosha? Varana naye si anatoa maboko mengi tu kama Maguire? Lindelof je?
Kuna screenshot moja ilitumwa humu wakati wa mechi ya Chelsea, yaani kuna Gape karibia mita 20 ama 30 baina ya Midfield yetu na Mabeki, na Wachezaji wa Chelsea kibao. Hata Tungekuwa na Dias na Van Djik bado tungefungwa za kutosha tu.
Kwa nini makocha watano wameshindwa kuona shida ya DM tunaona wanalazimisha matic acheze box to box middle.Jamaa anachizungumza yupo sahii shida ya man u ni hatuna defensive mzuri ndo maana beki zetu zinakuwa attacked sn na wapnzan mwisho wa cku makosa yanatokea..
Kama kwl umeshawah kucheza mpira utakuwa unajua umuhimu wa kiungo mkabaji katka timu...
Tukipata DM timu yetu itakua na balance ata makosa kwm6 defence yetu yatapungua
Mctonomy hapana. Sio box to box middle. Matic alikuwa mssada Sana kwenye kiungo msambazaji.Sasa Mctominay ndo achezw hiyo namba panga pangua ! labda sisi hatujui mpira tunaangalia tu ila kwa mctominay hapana bora fred anauwezo
Nani anamuongelea McTominay hapa?..Tunayesema acheze ni Fred sio McTominay.Sasa Mctominay ndo achezw hiyo namba panga pangua ! labda sisi hatujui mpira tunaangalia tu ila kwa mctominay hapana bora fred anauwezo
Mbona alicheza vizuri tu baadhi ya mechi tena kwenye double pivot! Kuanzia kwa Ole mpaka Lampard makocha wote wanatumia mifumo tofauti hivyo majukumu yake pia yalibadilika na alikuwa mostly ha-fit. Kwenye Carabao akiwa Everton alicheza kama LW pia sasa hapo unadhani tatizo lipo kwa nani?Eti kuna mtu anaamini VdB anaweza kupata namba kama starter kwenye ligi hii..alooo haya ni masihara..the player who didn't make it kwenye kikosi cha Everton can't make it next season hapa OT.
Everton hakucheza sab ya injuries ila mwanzao aliperfom . Game ya kwanza alikua man of the match .kakichafua sana n City. Karud game la mwsh n arsenal kaafunga goli pekee ile sikuEti kuna mtu anaamini VdB anaweza kupata namba kama starter kwenye ligi hii..alooo haya ni masihara..the player who didn't make it kwenye kikosi cha Everton can't make it next season hapa OT.
1. Herrera kataka kuondoka na ali demand mshahara wa 300k kubaki, ambao PSG walimuahidi. Hana thamani ya Huo mshahara.Kwa nini makocha watano wameshindwa kuona shida ya DM tunaona wanalazimisha matic acheze box to box middle.
Kwa kweli nilichefukwq Sana na attitude ya solsisher kushindwa kuona umuhimu wa DM wkt akicheza na Keane aliona, alicheza na schole aliona.. nilimdharau Sana. Afadhari Moriinho alimtumia matic Sana. Nilimdharau Zaid alishindwa kuona umuhimu wa Ander Herrera na kumkumbatia Pogba
Vyote.Gap la Mita 20-30 ni makosa ya wachezaji kutotambua wajibu wao au ni mfumo wa kocha / kocha kawaelekeza wacheze hvyo?
Why uangalie Creativity kama Factor kwa mchezaji Design ya Fred? Vipi Ngolo kante ni mbaya sababu hana Creativity? Velverde pale Madrid? Fred si Attacking midfielder wala playmaker, anacheza kwenye Double Pivot Man U na mbele yake kuna wachezaji wanne Design ya Bruno, Sancho, Rashford, Ronaldo, Martial etc.Kuna makosa binafsi na ya kimfumo... maguaya n mbovu binafsi anamakosa mengi...Fred ni mfumo unamfanya aonekane n mbovu na pia han creativity kama kiungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi kaka....tunahitaji new signing kmWhy uangalie Creativity kama Factor kwa mchezaji Design ya Fred? Vipi Ngolo kante ni mbaya sababu hana Creativity? Velverde pale Madrid? Fred si Attacking midfielder wala playmaker, anacheza kwenye Double Pivot Man U na mbele yake kuna wachezaji wanne Design ya Bruno, Sancho, Rashford, Ronaldo, Martial etc.
Timu inafungwa 4 na Brighton, imefungwa na Vitimu kidogo kibao, mechi zote hizo midfield inakuwa overun, tunachezewa mpira kama watoto wadogo, kitu cha kwanza hapo ni kudictate midfield, utadictate kwa kutafuta wachezaji wenye creativity tu (ambao unao tayari) ama utatafuta balance ya Midfield kwa kuongeza quality nyengine ambazo huna?
So sababu tunataka wachezaji wapya wa zamani waondoke?Acha ubishi kaka....tunahitaji new signing km
1. FDJ
2.nkunku
3.Timber
4. DM yyte mzr
5. Greenwood arudi jela imemfunza
6. CB me naona torres ni mwepesi pale EPL bora tutafute mwingne.
7. Captain mpya
8. Tufukuze wachezaji wazee
9. Tuwe wavumilivu kwa ETH na maamzi yake yyte anayofanya hata km akisema hasajili bdo tumsikilize yy
10. Tuombe Mungu sometime bahati na baraka ni muhimu kwenye kufanikisha project yyte
11. Km ikifaa tusajili striker km nunez, victor wa Napoli japo nahic itakuw ngumu dirisha hili