Itabidi Man United wazoee tu matokeo kama haya kwa sababu bado mengi yanakuja huko mbeleni.
Manager wao bado anadhani yuko Everton F.C.
Football ni kama cycle. Muda wao wa kudhani Champions League kama ni 'natural and God given' kwa sasa umeisha achilia mbali kupigania ubingwa wa league.
David Moyes is the Man!
Ninapita tu!