Lets focus katika game yetu ijayo usiku wa leo na As Roma. Mimi nafikiri Fergie aweke formation ya 4-5-1, kwasababu ni away game na awa jamaa watakuwa na usongo sana na sisi. Kikosi kama kama;
Gone are the days
1; Van Der Sar (mdoli)
2;Brown (mtoto wa mbwa)
3;Evra (mtoto wa manzese)
4;Vidic (waziri wa ulinzi)
5;Rio (teja,baba mwenye nyumba)
6;carrick (mzee wa rula)
7;ronaldo (software)
8;scholes (zeruzeru)
9;Runi (tyson,mbogo,hardware 1)
10;owen(hardware 2)
11;Giggs (womanizer,mzee wa kukimbiza) Sio tu history itatulinda bali pia tupo JUU!!, waleteeeeeeee!!
Nimesahau benchi; Tevez (simba mtu), Oshe'a (mpare),kusczkak(kinyani),pique,ander(lucky dube)