Arsenal sasa naona wanapendelewa tu na marefarii
Watu wamesukumana kwenye makalio halafu unatoa penalti
Handball ya wazi kwa ule mpira wa Sancho VAR wakareview harakaharaka wakapotezea
Magoli yote mawili Alex Telles amehusika
La kwanza alicheza msondo ngoma mpira alikuwa na uwezo wa kuuondoa akauacha umfikie Saka
Goli la pili alikuwa anacheza disco na Saka tena refa katoa penalti