Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa ameniuliza kipi nachokijua kumzidi ila mambo madogo kama haya kashindwa kupambanua 😂
 
Kwa Rashford sikatai
Bissaka asepe
Maguire asepe
Shaw pancha hazitamuisha kamwe
MacTominay will never be good enough
 
Nimesikiliza Press Conf. ya Ralf.

Naweza kusema usajili utafanyika haraka na mapema ili preseason ETH awe na kikosi chake kamili anachokitaka.

Hakutakuwa na yale mambo ya deadlines.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemsikiliza sana Ralf kwenye hii press conference, mpaka pre season inaanza nadhani atleast new players watatu mpaka wanne watakuwa washasajiliwa, tusubiri tuone ila naombea sana tupate players wenye kiu na makombe tuachane kabisa na wachezaji ambao washapita sehemu fulani ya mafanikio
 
Nakubaliana na wewe. Rushford ni proven player na mchezaji mzuri sana na nina amini Ten Hag anaweza kumtengeneza akawa lethal.
 
Mzee ina maana wachezaji waliokuja hapo wote hawana kiu na makombe ? Tatizo la United ni biashara na siasa kwenye mpira ,hvyo vitu havichangamani piga ua..... Huyo kocha mtamfukuza soon
 
Jamaa ameniuliza kipi nachokijua kumzidi ila mambo madogo kama haya kashindwa kupambanua 😂

Yani we Dogo unahitaji maombezi sasa na sio elimu tena! Baada ya kujiamini kwenye kile unachokiamini umeamua kukimbilia Pumba za Mwanaune mwenzako sio?
Kwahiyo kushakubali kujazwa ujinga kuwa Rashford ni Level za Mbappe na Haaland?
Utoto kweli ni shida.
 
Point 3 zote zako chief.. na ukinifanyia maombezi nitashukuru sana mkuu.. asante
 
Mzee ina maana wachezaji waliokuja hapo wote hawana kiu na makombe ? Tatizo la United ni biashara na siasa kwenye mpira ,hvyo vitu havichangamani piga ua..... Huyo kocha mtamfukuza soon
Varane ana kiu ipi ktk ulimwengu wa soka?

Ronaldo?

Hapo kwenye biashara na siasa ndio mabadiliko yameshaanza kwa kuleta watu sahihi katika nafasi hizo na nafasi za kisoka zibaki na watu wa soka hiyo ndio point yangu
 
Nakubaliana na wewe. Rushford ni proven player na mchezaji mzuri sana na nina amini Ten Hag anaweza kumtengeneza akawa lethal.
Rashford ni sikio la kufa. Mwisho wa kipaji hapo.

Ole kashindwa, Ralf kashindwa.

ETH ataweza? Na aina ya uchezaji wake unafanana karibia na wa Pep, Klopp na Ralf aliotaka kuintroduce.

United haina wachezaji wa ku-implement aina hiyo ya mchezo. Wavivu karibia wote hata Ralf alisha-admit hilo.

Bora Bissaka unaweza mpiga makwenzi akaelewa ila sio Rashford.

Kuna bandiko nililiweka jana humu, linaelezea jinsi gani United ilivyooza ndani ya uwanja. Wachezaji hawafanyi kile mwalimu anataka. Kwa Mou, Ole, Ralf walishindwa, iweje leo ETH aweze?

Roy Keane alisema, the same players will throw the manager under the bus. Ukiwabana sana michezoni wanaenda kulalamika kwa kina Neville, moto unaanzia kwenye media.

Bora uuze kila kitu uanze upya mwenyewe na watu wako. Ukifeli utimuliwe kihalali ila sio kuendekeza wachezaji mizigo kama Rashford.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Say No to Petition

In Maguire we Trust

Maguire is here to Stay

He's our greatest Captain ever

He's only Captain in Football History can score in both sides
 
huyu ndo basi ila akipewa muda tena yatamkuta ya maguire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…