Kane? Duh! Why tusipumzike kwa waingereza tusake kwinginekwa sasa klabu inatafuta mshambuliaji wa kumuondoa taratibu CR7, timu yetu haina nguvu ya kusajili mchezaji anayegombaniwa na wakubwa hivyo haitowezekana kumuondoa ronaldo bila ya uhakika wa kusajili. kipaombele cha klabu ni harry kane na kama itakuwa ngumu wanamuangalia nunez au richarlison.bahati ikianguka kwetu tunakwenda kwa haaland anayewindwa na guardiola.
ten hag hatumii 4:4:2 hivyo hawatocheza kwa pamoja. basi twende kwa benzema au kane ndio wenye sifa ya kucheza.Darwin Nunez kumuweka na Ronaldo itakuwa tumeongeza Ronaldo mzee kwenye mwili wa kijana.
Sijui why anaanza?Huyo ndio wa kwanza anatakiwa aondoke, hata leo katoa maboko kibao.
Subiri baada iyo fainali utaona izo habari jamaa alisema ana focus na fainali haitaji kusumbuliwa na izo storyhakuna chanzo chochote cha habari za uhakika kilichoripoti taarifa za CR7 kutohitajiwa na kocha ajaye, kwa kuwa hii habari imetokea upande wa ten hag nilitegemea vyanzo viwili vya habari zinazohusu uholanzi hususan klabu ya AJAX wangelitupa tetesi hii lakini mpaka muda huu wapo kimya, kwa taarifa za uhakika zinazohusu ajax na ten hag chanzo kikuu aminifu ni MIKE VERWEIJ na hata jana katika interview ya ten hag akizungumzia maandalizi ya fainali itakayochezwa hapo kesho huyu jamaa alikuwa anamchokonoa sana ten hag kwa maswali yake yanayohusu zaidi tetesi za man utd kuliko maandalizi ya ajax kuelekea fainali. Kwa asiyefahamu huyu bwana ndiye mtu wa mwanzoni kuja na taarifa zinazohusu ten hag kuwa mstari wa mbele kutakiwa na man utd na hata ishu ya ten hag kufanyiwa mahojiano na man utd ndio chanzo cha mapema kuripoti kwa waandishi wasioripoti habari za man utd, vyanzo vyengine muhimu kwa taarifa za man utd ni james ducker wa telegraph, laurie whitwell wa the athletic , david ornstein wa the athletic na simon stone wa bbc (huyu pia anaripoti habari za man city). Kati ya hao ni yupi alieripoti taarifa ya ronaldo kutohitajiwa na ten hag?... Basi hata hawa akina mark ogden wa espn,mwanadada charlotte ducker wa goal.com nao hawana ubuyu huu walionao daily...... pekee wakitiwa nguvu na sky sports?
Man u haieleweki mwaka wa kumi huu usijisahaulishe.OkayBoss.
Let's see tutafika wapi?
With Ronaldo influence.
Sio akifunga hattrick mnaanza kutuponda huku Man U nzima haieleweki.
P. Jones yeye anakula bila kazinemanja matic tumpe heshima yake kwa uamuzi alioamua kuuchukua, ni wachezaji wachache wenye uthubutu wa kuachia ngazi sehemu inayokupa mshahara mkubwa. jamaa ni humble sana. namuona james garner akijiandaa kurithi nafasi yake.
kuna watu wanabahati sanaP. Jones yeye anakula bila kazi
Ronaldo tunakusema lakini unatuokoa sana mkuu tunashukuru sana kwa msaada wako. Ronaldo haiangushi team ila timu inamuangusha Ronaldo.
Hahitaji hata kukaba kama watu huko nyuma wanafanya kazi zao inavyotakiwa akae tu pale washushe cross apige suuuuiu siku imeishaa.
Labda tupate mshambuliaji wa maana msimu ujao sawa Ila kama watabaki hawa kina Rashford ni mara mia 600 aendelee kukaa pale mbele.
kwako wewe ishu ni uingereza au uwezo wake, angalau ungelitumia hoja ya umri wake na majeruhi ingeleta mantiki kwa harry kane. dunia pia ina uhaba wa washambuliaji, chelsea wanatamani kumuondoa lukaku ila what next.Kane? Duh! Why tusipumzike kwa waingereza tusake kwingine
Kabla Ronaldo tulikuwa na hali gani?Mzee sijampangia, hizo sifa ulizosema ndio zinafanya tutake aondoke maana kwa hizo sifa itakua ngumu kucheza soka la muunganiko, mchezaji akikosea shuti mnaaza si angempa Ronaldo, mara mchoyo mpaka mchezaji anakosa kujiamini, Ronaldo akifunga tufungwe blame inaenda kwa wengine yaani collective responsibility inapotea sasa kwa mwendo huo Man U tutafika wapi kisoka? Lini tutacheza kitimu?
Umesoma vizuri?Wewe una wenge mkuu, tulia kwanza mana unaposema rekodi binafsi sijui unataka kumaanisha nini, mtu anafunga na ana njaa ya kufunga ulitaka asifunge kuogopa nyie mtasema anataka tunzo binafsi? Takwimu zimetoka zinaonesha asipocheza Ronaldo timu inazingua, haya ulitaka afanye nini? Acheni kukariri.
namuona akivuliwa kinga ya unahodha na baada ya hapo atagombania namba. kwa performance yake ya msimu huu hakuna timu ya maana itakayomuhitaji kwa bei nzuri.Maguire kwanza hapaswi kuongelewa in future tense anapaswa kuondolewa ikiwa tuna nia na kuijenga timu ya ushindani. Kumuacha ni kusababisha media za kiingereza kuwaharibu kisaikolojia kina TIMBER wapya wanaochukua no yake.
Tatizo mwingereza akija timu kama yetu kizazi hiki media zao zinamkuza kuliko uhalisia kusababisha tusipate tulichokitarajia kutoka kwake, at least tubalance.kwako wewe ishu ni uingereza au uwezo wake, angalau ungelitumia hoja ya umri wake na majeruhi ingeleta mantiki kwa harry kane. dunia pia ina uhaba wa washambuliaji, chelsea wanatamani kumuondoa lukaku ila what next.
Kukaba hakabi, goli la kwanza la Norwich yeye alikuwa peke yake hana mtu wa kumkaba, hajui hata majukumu yake lkn anaanza na anamaliza, unategemea nini hapo?Sijui why anaanza?
Hawajawahi fikiria Lindelof, De Gea, Telles wanaathirikaje kisaikolojia wakiwa na Maguire nyuma
Nipe ushahidi unaoonesha kwamba cr7 anacheza kwa ajili ya tunzo binafsi, lkn hata kama anacheza kwa ajili hiyo huoni kama anatupa faida kutokana na ku fight kwake? Acheni kukariri hakuna mchezaji asiyependa tunzo binafsi.Umesoma vizuri?
Nimemkataza kufunga?
Nachosema za way alivyo ni vigumu kupata timu ambayo wachezaji wapo for team kuliko wao binafsi.
Ikiwa kila mtu anataka apate sifa how about our club?
Individual brilliance vs teamwork ipi poa?
hilo unalolitamani ni ngumu kuwezekana kwa jicho la kawaida ila ngoja tumsubirie mwalimu.kwa sasa kuna target za man utd na za kocha.Tatizo mwingereza akija timu kama yetu kizazi hiki media zao zinamkuza kuliko uhalisia kusababisha tusipate tulichokitarajia kutoka kwake, at least tubalance.
Sababu mojawapo niMan u haieleweki mwaka wa kumi huu usijisahaulishe.
Duh! Okay boss yaishe please naona hunielewi kabisa.Nipe ushahidi unaoonesha kwamba cr7 anacheza kwa ajili ya tunzo binafsi, lkn hata kama anacheza kwa ajili hiyo huoni kama anatupa faida kutokana na ku fight kwake? Acheni kukariri hakuna mchezaji asiyependa tunzo binafsi.
Worse, worse, worstKabla Ronaldo tulikuwa na hali gani?